Makamu wa Rais kutishia kujiuzulu: Kuna shida mahali!

Makamu wa Rais kutishia kujiuzulu: Kuna shida mahali!

Huyu mwamba ana maamuzi magumu sana ,msije kushangaa mwezi June akajiuzulu kweli maana sio kweli wanaweza kumaliza Kwa miezi mitatu.

Hata Mimi nimehisi Kuna kitu hakipo sawa , mwamba anataka kujiuzulu hata Leo lakini Kwa sababu kujiuzulu Sasa kitakosa logic kaamua kutumia usomi sana na ieleweke huo Mradi kukamilika mwezi June ni kitu ambacho ni kama hakiwezekani.
Nami nimelifikiria hili kwa makini, kunani?
 
Back
Top Bottom