Huyu mwamba ana maamuzi magumu sana ,msije kushangaa mwezi June akajiuzulu kweli maana sio kweli wanaweza kumaliza Kwa miezi mitatu.
Hata Mimi nimehisi Kuna kitu hakipo sawa , mwamba anataka kujiuzulu hata Leo lakini Kwa sababu kujiuzulu Sasa kitakosa logic kaamua kutumia usomi sana na ieleweke huo Mradi kukamilika mwezi June ni kitu ambacho ni kama hakiwezekani.