Makamu wa Rais, Mama Samia amedhihirisha anaweza kuaminika kubeba majukumu makubwa zaidi

Nimekupata ushauri mzuri ila inabidi SISIEMU wavunje norm yao ya nyundo 10 maana kwa miaka hii mi5 maji yamekorogeka na kuna uzi ulisema sector nyingi zimeporomoka na sasa ukasema media house zinapumulia mshine zipo ICU,kwahiyo akipora tena kwa miaka mingine mi5 iTZ tutakuja kuwa ombaomba kama tulivyokuwa miaka ya 1960's wakati nyerere anakbidhiwa nchi,bora agombee 2020 hapa JMT.
 
Hivi watanzania tumelogwa? Nimuendelezo wa makosa yaleyale. Unampima mtu kwa kuwakilisha kwenye misiba?
 
Duh...!. Naona manyota tuu!, nimetoka kapa!.
Maneno frontliner, mapinduzi ya fikra kwa vijana, na social engineering, inabidi ni consult dikishenari.
P
 
Aliongoza vema bunge la katiba lililoitupilia mbali rasimu ya Warioba (wananchi) na kukumbatia ile ya Chenge! Kweli vichwa vya panzi vingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…