Makamu wa Rais, Mama Samia amedhihirisha anaweza kuaminika kubeba majukumu makubwa zaidi

Makamu wa Rais, Mama Samia amedhihirisha anaweza kuaminika kubeba majukumu makubwa zaidi

Nimekupata ushauri mzuri ila inabidi SISIEMU wavunje norm yao ya nyundo 10 maana kwa miaka hii mi5 maji yamekorogeka na kuna uzi ulisema sector nyingi zimeporomoka na sasa ukasema media house zinapumulia mshine zipo ICU,kwahiyo akipora tena kwa miaka mingine mi5 iTZ tutakuja kuwa ombaomba kama tulivyokuwa miaka ya 1960's wakati nyerere anakbidhiwa nchi,bora agombee 2020 hapa JMT.
 
Hivi watanzania tumelogwa? Nimuendelezo wa makosa yaleyale. Unampima mtu kwa kuwakilisha kwenye misiba?
 
Mkuu, umekuwa frontliner kwa muda mrefu sana, ukifanya kila uwezalo kwa lengo zuri la kuonya, kuelekeza, kujenga na kuweka misingi.
Mimi nahisi baada ya miska mingi ya harakati zako sasa hivi ingekuwa na muda muafaka kwako kufanya mapinduzi hakisi ya kifikra vichwani mwa vijana kwa kujikita kwenye wewe kujikita kwenye Social Engineering, naamini ungesaidia sana nchi yetu.
Duh...!. Naona manyota tuu!, nimetoka kapa!.
Maneno frontliner, mapinduzi ya fikra kwa vijana, na social engineering, inabidi ni consult dikishenari.
P
 
Huyu Mama yuko strong kwa uhalisia;

TAZAMA:
- Aliongoza vizuri sana Bunge la katiba.
- Amekuwa anawakilisha vizuri taifa kwenye forums za kimataifa za wakuu wa nchi.
- Anamwakilisha vizuri raisi kwenye mbalimbali yanayomshinda kwa sababu mbalimbali.

- Kipindi hiki janga la korona hajaonekana kutafuta execuses, anapambana na majukumu kiofisi - ofisini kama kawaida.
Aliongoza vema bunge la katiba lililoitupilia mbali rasimu ya Warioba (wananchi) na kukumbatia ile ya Chenge! Kweli vichwa vya panzi vingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom