TANZIA Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Gharibu Bilali afiwa na Mamake Mzazi

TANZIA Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Gharibu Bilali afiwa na Mamake Mzazi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amemtembelea kumpa Pole Credit Bilali aliyempoteza Mamake Mzazi

Marehemu Safia Abeid Mama Mzazi wa Dkt Mohamed Gharibu Bilali alifariki Januari 3 na kuzikwa Januari 4 Unguja

FB_IMG_16430389063395839.jpg

FB_IMG_16430389011187424.jpg

FB_IMG_16430388966319693.jpg

FB_IMG_16430388928351691.jpg

FB_IMG_16430388891014648.jpg
 
Duh!!

Ukisikia kuna watu wanakuwa blessed kila upande, ndo hawa sasa...

Yaani uzee wote huo bado alikuwa ana-enjoy kampani ya Mama Mzazi?!

Kwa watu wa Far East, ni kawaida sana lakini akina sie, dah! Ukifika 50 na bado Bi Mdhashi yupo, ni jambo la kushukuru!!

Anyway, pole sana Daktari wa Fizikia...

Moja ya Vichwa Bora kupata kutokea lakini akakiingiza kwenye siasa...
 
Duh! kumbe mzee Bilal alikuwa bado anaenjoy uwepo wa mama...

Apumzike kwa amani
 
Nje ambapo kuna hewa ya kutosha wamevaa barakoa.

Ndani ambapo hewa itakua inazunguka humo humo ndiyo wamevua barakoa.

Ooh nilisahau, sebule yake ni zaidi ya vyumba vinne vya kulala, everything is sanitized with state of the art equipments so actually they are safe in there than outside.

What was I thinking 🙄🙄
 
What was I thinking [emoji849][emoji849]
Hizo barakoa huwa wanazivaa wanapohisi kuna Camera za waandishi ili kuepuka midomo yetu walalahoi
 
Back
Top Bottom