Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kwa huo umri wa Mh. Balali nimekuja mbio kuona Bi mkubwa kasepa na mingapi ila habari haijulishi.Duh sikuwaza Kama angekuwa NI mzima mpaka uzee huu wa mwanaye
Nyinyi ndo wapumbavu wa CHADEMA kuombea watu wafe kisa chuki zenu za kijinga! Huyo bibi anahusika vipi na CCM? Hiyo miaka utaifikisha mpuuzi wewe?Wafe tu....Tumechoka na ma CCM
hahahahaWafe tu....Tumechoka na ma CCM
Mkuu Unadhani ugumu wa maisha ulokuwa umesababishwa na huyo Marehemu?Wafe tu....Tumechoka na ma CCM
Chama na kifo wapi na wapi !!Wafe tu....Tumechoka na ma CCM
Vyama na vifo wapi na wapi !? Vyama tuviacheNyinyi ndo wapumbavu wa CHADEMA kuombea watu wafe kisa chuki zenu za kijinga! Huyo bibi anahusika vipi na CCM? Hiyo miaka utaifikisha mpuuzi wewe?
Acha uzwazwa kifo ni kitu asili kwa uingereza hawafi? Mana hakuna ccm hukoWafe tu....Tumechoka na ma CCM
Hizo barakoa huwa wanazivaa wanapohisi kuna Camera za waandishi ili kuepuka midomo yetu walalahoiNje ambapo kuna hewa ya kutosha wamevaa barakoa.
Ndani ambapo hewa itakua inazunguka humo humo ndiyo wamevua barakoa.
Ooh nilisahau, sebule yake ni zaidi ya vyumba vinne vya kulala, everything is sanitized with state of the art equipments so actually they are safe in there than outside.
What was I thinking [emoji849][emoji849]
Kila nafsi itaonja UmautiWafe tu....Tumechoka na ma CCM
Alikuwa bado yupo hai!Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amemtembelea kumpa Pole Credit Bilali aliyempoteza Mamake Mzazi
Marehemu Safia Abeid Mama Mzazi wa Dkt Mohamed Gharibu Bilali alifariki Januari 3 na kuzikwa Januari 4 Unguja
View attachment 2094231
View attachment 2094232
View attachment 2094233
View attachment 2094234
View attachment 2094235