Makamu wa Rais na ziara za mara kwa mara nchini Burundi

Makamu wa Rais na ziara za mara kwa mara nchini Burundi

Ni kwao, mwendakwao si mtoro
Nchi zote hizo pamoja na Tanganyika zilikuwa ni Dusch ostafrika Nchi moja ! Hii mipaka ni ya wakoloni !! Sisi ni dugu moja Baba mmoja Mama mmoja Tumbo mbali mbali !
 
Leo Makamu wa Rais, Philip Mpango ametua Bujumbura, Burundi.

Tangu kuteuliwa kwake, Makamu wa Rais ameshaenda Burundi zaidi ya mara mbili. Kulikoni ziara hizi za mara kwa mara nchini huko kunani?
Sisi wananchi tulio itikia wito wa kuhamia Burundi, tunafurahi tunapotembelewa na viongozi wetu Tulioitika Wito Kuhamia Burundi, Tumefarijika Sana Kumuona Former First Lady, Mama Salma Kikwete. Kumbe Rais Akiwa Mwanamke, Nchi Haina First Lady! sasa kaja VP. Dr. Mpango, then huu ni mpango mzima!, very soon Mamaa mwenyewe atatinga hapa, tunamsubiria kwa hamu.
P
 
The 21st Extra-Ordinary Summit of the EAC Heads of State, set to take place today, in Bujumbura, Burundi.

East African Community Headquarters, Arusha, Tanzania, 31st May, 2023: EAC Heads of State are set to convene for the 21st Extra-Ordinary Summit of the EAC Heads of State, set to take place today, in Bujumbura, Burundi.

The Summit was preceded by the 49th Extra-Ordinary Meeting of the EAC Council of Ministers on Tuesday, 30th May, 2023.

The Summit is expected to consider the following matters:

1. Appointment of Deputy Secretaries General;

2. Designation of Vice President of the East African Court of Justice;

3. Appointment of Judge to the East African Court of Justice, and;

4. Progress Report and the way forward on the restoration of peace and security in Eastern DRC

Source : EAC press release
 
Leo Makamu wa Rais, Philip Mpango ametua Bujumbura, Burundi.

Tangu kuteuliwa kwake, Makamu wa Rais ameshaenda Burundi zaidi ya mara mbili. Kulikoni ziara hizi za mara kwa mara nchini huko kunani?
Acha umbea! Sasa lini viongozi wanaanika ziara zao? Wewe ukiona hujaambiwa tulia acha kimbele front. Mpango yupo kwa majirani zake . Tarafa ya Muyama kwa akina mpango ni ya mpakani watu wa mpakani wana mafungamanp makubwa.
 
Wacha waende lile ni koloni letu basi ni mipaka tu yaani kule kila kitu ni Tz kwanzia misosi mpka miziki ni vile tumezembea tu inatakiwa tuko control mataifa ya great lakes kwa faida ya bandari yetu .na usalama
 
Leo Makamu wa Rais, Philip Mpango ametua Bujumbura, Burundi.

Tangu kuteuliwa kwake, Makamu wa Rais ameshaenda Burundi zaidi ya mara mbili. Kulikoni ziara hizi za mara kwa mara nchini huko kunani?
Ndio asili yake,ana wajomba huko,
Biden mababu zake walitoka Ireland,na ameishaenda kutembelea walipotoka mababu zake,
Trump pia,wazee wake walitoka Ireland,
Makamu wa Raisi,Kamara Harris,baba mjamaika,mama mhindi!!ana mashangazi na wajomba Jamaica.
Sio kitu Cha ajabu,ni Cha ajabu kwa watu wenye akili ndogo,na wakiwemo hatq huyo mskamu,anaweza akawa anaenda kuuuza Siri za nchi
 
Back
Top Bottom