Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Ni kama mara 4 au 5 hiviLeo Makamu wa Rais, Philip Mpango ametua Bujumbura, Burundi.
Tangu kuteuliwa kwake, Makamu wa Rais ameshaenda Burundi zaidi ya mara mbili. Kulikoni ziara hizi za mara kwa mara nchini huko kunani?
Ni kwao, mwendakwao si mtoroLeo Makamu wa Rais, Philip Mpango ametua Bujumbura, Burundi.
Tangu kuteuliwa kwake, Makamu wa Rais ameshaenda Burundi zaidi ya mara mbili. Kulikoni ziara hizi za mara kwa mara nchini huko kunani?
Nchi zote hizo pamoja na Tanganyika zilikuwa ni Dusch ostafrika Nchi moja ! Hii mipaka ni ya wakoloni !! Sisi ni dugu moja Baba mmoja Mama mmoja Tumbo mbali mbali !Ni kwao, mwendakwao si mtoro
Home sweet homeLeo Makamu wa Rais, Philip Mpango ametua Bujumbura, Burundi.
Tangu kuteuliwa kwake, Makamu wa Rais ameshaenda Burundi zaidi ya mara mbili. Kulikoni ziara hizi za mara kwa mara nchini huko kunani?
Home sweet home
Mtu kwaoLeo Makamu wa Rais, Philip Mpango ametua Bujumbura, Burundi.
Tangu kuteuliwa kwake, Makamu wa Rais ameshaenda Burundi zaidi ya mara mbili. Kulikoni ziara hizi za mara kwa mara nchini huko kunani?
Sisi wananchi tulio itikia wito wa kuhamia Burundi, tunafurahi tunapotembelewa na viongozi wetu Tulioitika Wito Kuhamia Burundi, Tumefarijika Sana Kumuona Former First Lady, Mama Salma Kikwete. Kumbe Rais Akiwa Mwanamke, Nchi Haina First Lady! sasa kaja VP. Dr. Mpango, then huu ni mpango mzima!, very soon Mamaa mwenyewe atatinga hapa, tunamsubiria kwa hamu.Leo Makamu wa Rais, Philip Mpango ametua Bujumbura, Burundi.
Tangu kuteuliwa kwake, Makamu wa Rais ameshaenda Burundi zaidi ya mara mbili. Kulikoni ziara hizi za mara kwa mara nchini huko kunani?
Acha umbea! Sasa lini viongozi wanaanika ziara zao? Wewe ukiona hujaambiwa tulia acha kimbele front. Mpango yupo kwa majirani zake . Tarafa ya Muyama kwa akina mpango ni ya mpakani watu wa mpakani wana mafungamanp makubwa.Leo Makamu wa Rais, Philip Mpango ametua Bujumbura, Burundi.
Tangu kuteuliwa kwake, Makamu wa Rais ameshaenda Burundi zaidi ya mara mbili. Kulikoni ziara hizi za mara kwa mara nchini huko kunani?
Anaenda kutuandalia Makao siku Mwigulu akitufukuz tusipate shidaLeo Makamu wa Rais, Philip Mpango ametua Bujumbura, Burundi.
Tangu kuteuliwa kwake, Makamu wa Rais ameshaenda Burundi zaidi ya mara mbili. Kulikoni ziara hizi za mara kwa mara nchini huko kunani?
Ndio asili yake,ana wajomba huko,Leo Makamu wa Rais, Philip Mpango ametua Bujumbura, Burundi.