Makamu wa Rais Philip Mpango akiwa na Rais wa Finland Aleksander Stubb katika mazishi ya papa

Makamu wa Rais Philip Mpango akiwa na Rais wa Finland Aleksander Stubb katika mazishi ya papa

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt. Philip Isidor Mpango akiwa pamoja na Rais wa Finland Aleksander Stubb katika Mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Hayati Baba Mtakatifu Francisko ambapo Rais Stubb aligusia pia ziara yake ya nchini Tanzania kuanzia 14 Mei 2025, wiki mbili zijazo.

Makamu wa Rais Mpango alimjuulisha kuwa mipango yote ya ziara yake hiyo ya Kitaifa imekamilika na atakuwa Mgeni Rasmi wa Rais Samia.

IMG-20250426-WA0008.jpg
 
Roman ifike sehemu Hilo neno baba Mtakatifu mlitoe ndo nn ? Mm mroma Ila baba Mtakatifu nop

Haya kwani huko hawaweki matent, au jua na mvua hakuna 🤔
 
Roman ifike sehemu Hilo neno baba Mtakatifu mlitoe ndo nn ? Mm mroma Ila baba Mtakatifu nop

Haya kwani huko hawaweki matent, au jua na mvua hakuna 🤔
Dunia HAIJAWAHI kuwa fair kwa maana ya kila kitu kinachofanyika LAZIMA ukipende.
 
Hapo sijaelewa,wapo kwenye mazungumzo au Raisi alikuwa anapita Dokta akaomba picha.
 
Back
Top Bottom