Moja ya hatua za mwanzo mwanzo alizochukua magufuli ni kuvunja mamlaka ya ustawishaji makao makuu, CDA. Unakumbuka kazi kubwa iliyofanywa na CDA kupanda miti, na kuibadilisha dodoma iliyokuwa almost jangwa kuwa kama ilivvyo Leo? Kulikuwa na idara ya mazingira, Kwa muda mrefu ikiongozwa na mkurugenzi Thomas Mtei, na ufadhili wa serikali ya Japan kupitia shirika lao JICA, na vijana wa kujitolea JOCV. Kazi iliyofanywa ni kubwa. All of a sudden CDA ikavunjwa- eti hakuna walichofanya zaidi ya kufisadi viwanja! Stupid.Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti.
Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
Dodoma mvua wanaiskia kwa mbali, haijaanza kunyesha huko.Inatakiwa wasambaze mbegu za miti ya kutosha, hii mvua nyingi wanaweza wasiipate tena kwa miaka 20.
Kwani Dodoma imeanza leo? Kwanini viongozi waliomtanguliwa hapo Dodoma hawakuifanya ya Kijani kwa kupanda Miti?Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti.
Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
Duh! na hii el nino bado Dodoma ni chenga? sijui kwa nini serikali walikomaa kuhamia hapo jangwani.......bora wangepeleka makao makuu Singida au Tabora.Dodoma mvua wanaiskia kwa mbali, haijaanza kunyesha huko.
Ni kweli na sio Dodoma Tu Bali sehemu nyingi ambazo Moti imekatwa iwe Singida , Tabora, Shinyanga, Simiyu, Mwanza, MaraNashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti.
Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
Asante kwa kukumbusha, kampeni itaanza karibuni sanaNashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti.
Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
Yawezekana mleta mada yuko new york, alikuja Dodoma kutembea tu.Badala ya kutuma au kulalamika anzisha kampeni ya kupanda miti dodoma na utaona mafanikio yake, sio kila kitu serikali.
Wengine wapo huko kuangalia wapi wapige mpunga na sio mambo ya kupanda miti, huijui ccm vizuri?
Hiyo ni kazi ya Waziri Jafo na mara nyingi Dr Mpango amekuwa akimuagiza afanye hilo zoezi!Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti.
Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
Kwaiyo umewaza sana,ukaona hiyo ndiyo sababu Dodoma haipandwi miti!!Moja ya hatua za mwanzo mwanzo alizochukua magufuli ni kuvunja mamlaka ya ustawishaji makao makuu, CDA. Unakumbuka kazi kubwa iliyofanywa na CDA kupanda miti, na kuibadilisha dodoma iliyokuwa almost jangwa kuwa kama ilivvyo Leo? Kulikuwa na idara ya mazingira, Kwa muda mrefu ikiongozwa na mkurugenzi Thomas Mtei, na ufadhili wa serikali ya Japan kupitia shirika lao JICA, na vijana wa kujitolea JOCV. Kazi iliyofanywa ni kubwa. All of a sudden CDA ikavunjwa- eti hakuna walichofanya zaidi ya kufisadi viwanja! Stupid.
Wananchi wa Dodoma wapo tayari kwa kijani?Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti.
Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
Changamoto ni ujenzi holela wa kijinga, Dodoma ya leo siyo ya kuruhusu kujenga nyumba tofauti na maghorofa, mji lazima upangiliwe mapema, angalia NHC wanajenga mabanda tupu wanakwambia tuna mradi wa nyumba elfu 2, kumbe wangepiga magorofa 50 sawa na hayo mabanda elf 2 na maeneo mengine ikawa bustani.Ndio, Dodoma ya Sasa si ya wagogo tu
Yupo Jafo anachofanya hapo ni kujizungusha tuu kwenye viwanda na kuvizia Mkutano wa COP akapate posho.Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti.
Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?