figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
DC haapishwi na RaisMiluzi mingi naambiwa humpoteza mbwa. Kimya cha wahusika kuhusu hali ya jiwe kikichanganywa na miluzi inayopigwa kwa mfano hapa JF inatufanya hata ambao hatukutaka kufikiria nini kinaendelea tuanze kuwa na hofu. Jinsi siku zinavyokwenda na hakuna taarifa isiyo na shaka ni hali inayo ongeza wasiwasi. Si kawaida ya mheshimiwa "kupotea" kwa siku kadha, wanasema kuna ambao amewatumbua-lakini ajabu hujasikia wateule wana apishwa lini. Sasa kunakuja huu mkutano ambao yeye angehusika kama Mwalikwa mkuu na unafanyika hapa Dar badala yake Mama ndiye atakaemuakilisha. Kila moja la hayo niliyo yataja linaweza kuwa na jibu la kueleweka lakini ukiyaweka pamoja yanaleta shaka. Ukweli wanaujua wahusika lakini kama watanzania ni vizuri kukawa na uwazi vinginevyo wapiga miluzi watazidi kuwachanganya watanzania.
Tunamuombea afya njema Rais wetu japo tunapingana lakini kwa hizi tetesi kama zina ukweli tuungane wote kwa pamoja kumuombea apone haraka.Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kumuwakilisha Rais Magufuli kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa 58 wa mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) utakao anza Jumatatu Oktoba 21 hadi 25 jijini Dar es Salaam.
View attachment 1238945
Uko sawa mkuu lakini bado nisemacho kinasimama mpaka hapo atakapo onekana miluzi tutaisikia mingi.DC haapishwi na Rais
Mkuu kimantiki hii inaleta tabu kwani hatujui kinacho endelea.Tunamuombea afya njema Rais wetu japo tunapingana lakini kwa hizi tetesi kama zina ukweli tuungane wote kwa pamoja kumuombea apone haraka.
Imani zenu mara nyingi huwa hivi hivi na hauchukui siku hata tano mnageuka😁😁😁Nina imani kuwa Samia Suluhu atakuwa Raisi Bora
Kumbe wapiga miluzi sio watanzaniaMiluzi mingi naambiwa humpoteza mbwa. Kimya cha wahusika kuhusu hali ya jiwe kikichanganywa na miluzi inayopigwa kwa mfano hapa JF inatufanya hata ambao hatukutaka kufikiria nini kinaendelea tuanze kuwa na hofu. Jinsi siku zinavyokwenda na hakuna taarifa isiyo na shaka ni hali inayo ongeza wasiwasi. Si kawaida ya mheshimiwa "kupotea" kwa siku kadha, wanasema kuna ambao amewatumbua-lakini ajabu hujasikia wateule wana apishwa lini. Sasa kunakuja huu mkutano ambao yeye angehusika kama Mwalikwa mkuu na unafanyika hapa Dar badala yake Mama ndiye atakaemuakilisha. Kila moja la hayo niliyo yataja linaweza kuwa na jibu la kueleweka lakini ukiyaweka pamoja yanaleta shaka. Ukweli wanaujua wahusika lakini kama watanzania ni vizuri kukawa na uwazi vinginevyo wapiga miluzi watazidi kuwachanganya watanzania.
Anaweza kupiga pushup?Bila shaka hata majibu yetu yote ya Maswali na Sintofahamu iliyopo tutayapata Kesho hiyo hiyo hivyo tuwe tu Wavumilivu.
Chanzo Taarifa: Radio One taarifa yao ya Habari ya Saa 7 mchana huu wa leo.
Mama yetu. Siyo siri, ninampenda sana. Tokea siku aende kumuona kama mwanae TL kule Nairobi, niliingiwa na fundo fulani la upendo moyoni mwangu.Nina imani kuwa Samia Suluhu atakuwa Raisi Bora