Makamu wa Rais, Samia Suluhu anatarajiwa kumuwakilisha Rais Magufuli katika Mkutano wa 58 wa AALCO

Makamu wa Rais, Samia Suluhu anatarajiwa kumuwakilisha Rais Magufuli katika Mkutano wa 58 wa AALCO

Imani zenu mara nyingi huwa hivi hivi na hauchukui siku hata tano mnageuka😁😁😁
Mimi ninaeandika hivi nilikuwa mwanachama mkereketwa wa CCM lakini Awamu hii imekuja na mambo ya kutisha na ya kushangaza nikaona usiwe tabu CHADEMA japo wana mapungufu wanafaa.
 
Mama yetu. Siyo siri, ninampenda sana. Tokea siku aende kumuona kama mwanae TL kule Nairobi, niliingiwa na fundo fulani la upendo moyoni mwangu.
Uongozi ni kipaji sio makelele na Mahasira ndio chanzo cha kuuchosha Moyo
 
upupu kama huu usifutwe milele
iwe ishara ya ujinga wetu
Miluzi mingi naambiwa humpoteza mbwa. Kimya cha wahusika kuhusu hali ya jiwe kikichanganywa na miluzi inayopigwa kwa mfano hapa JF inatufanya hata ambao hatukutaka kufikiria nini kinaendelea tuanze kuwa na hofu. Jinsi siku zinavyokwenda na hakuna taarifa isiyo na shaka ni hali inayo ongeza wasiwasi. Si kawaida ya mheshimiwa "kupotea" kwa siku kadha, wanasema kuna ambao amewatumbua-lakini ajabu hujasikia wateule wana apishwa lini. Sasa kunakuja huu mkutano ambao yeye angehusika kama Mwalikwa mkuu na unafanyika hapa Dar badala yake Mama ndiye atakaemuakilisha. Kila moja la hayo niliyo yataja linaweza kuwa na jibu la kueleweka lakini ukiyaweka pamoja yanaleta shaka. Ukweli wanaujua wahusika lakini kama watanzania ni vizuri kukawa na uwazi vinginevyo wapiga miluzi watazidi kuwachanganya watanzania.
 
Back
Top Bottom