Makamu wa Rais wa Iran aomba kujiuzulu

Makamu wa Rais wa Iran aomba kujiuzulu

shamariwa chool

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2024
Posts
265
Reaction score
248
Hatimae makamo Rais wa. Iran kajiuzulu baada yakuona sera ya misimamo mikali Rais wake haifaagilii

====

Hayo yameripotiwa na Shirika la habari la Iran, IRNA ambalo limearifu kwamba Zarif, amewasilisha barua hiyo mapema leo kwa Rais Masoud Pezeshkian. Hiyo itakwua ni mara ya pili kwa Zarif kutangaza kujiuzulu lakini hapo kabla haikufahamika iwapo Rais Pezeshkian alikubali ombi hilo.

Mwanadiplomasia huyo aliyekuwa na dhima kubwa kwenye mkataba wa nyuklia kati ya Iran na madola yenye nguvu wa mwaka 2015 alipokuwa waziri wa mambo ya kigeni, amekuwa akilengwa kwa muda mrefu na wanasiasa ndani ya mfumo wa kidini unaoitwala Iran.

Wanamlaumu kwa ushauri wake wa kila wakati wa kutaka Terhan ijongeleane na Marekani na kumaliza tofauti zilizopo.

Source: DW swahili
 
Sasa mleta Mada ndio Tatizo kaleta Mada na kaweka na Ukumu kabisa ya Sababu ni hiii japo %100 Ajui Sababu ipi!!??¿¿

Sijui lengo lake Tujadili maoni yake au tujiulize Sababu ya Zarif kujiuzulu maoni yake ya Uwongo kwakudhingatia Ukweli kuwa Rais aliepo Madarakani!!!

ni Rais Pekee ktk Wote waliowai kushida Madarakani ya Iran mwanamageuzi Zaid ata ktk viongoz wote Waliogombea naye niyeye tu ndio Alifaamika kutokuwa na Mambo ya Dini Sana!!!

Ata Vaaa yake tu inakupa picha kuwa uyu sio Mdini Sana..

Napinga hoja yake %100

Badala yake Tutafute Sababu ya yeye Zarif kujiuzulu..
 
Hitooo tunaitaaa tu
Mix by Yas

Wahehee mpooo
 
Bila ya Wairan kufanya Revolution na kuuondoa mfumo wa Serikali ya Kidini Extremists wataendelea kuisumbua Mashariki ya Kati na Dunia.

Kabla ya siasa za kifashist za Ayatollah, Iran ilikuwaa kinara wa maendeeleo na ustaarabu Mashariki ya kati. Baada ya siasa za kidini, maisha ya Wairan yamekuwa duni, yasiyo na mwanga wala uhakika. Kuuawa ni wakati wowote, ukionekana unahoji chochote ambacho Ayatollah anataka.
 
Watamrest soon. Watu wa misimamo huwa hawakubali mawazo tofauti na huhwsabiwa kuwa usaliti.
 
Sasa mleta Mada ndio Tatizo kaleta Mada na kaweka na Ukumu kabisa ya Sababu ni hiii japo %100 Ajui Sababu ipi!!??¿¿

Sijui lengo lake Tujadili maoni yake au tujiulize Sababu ya Zarif kujiuzulu maoni yake ya Uwongo kwakudhingatia Ukweli kuwa Rais aliepo Madarakani!!!

ni Rais Pekee ktk Wote waliowai kushida Madarakani ya Iran mwanamageuzi Zaid ata ktk viongoz wote Waliogombea naye niyeye tu ndio Alifaamika kutokuwa na Mambo ya Dini Sana!!!

Ata Vaaa yake tu inakupa picha kuwa uyu sio Mdini Sana..

Napinga hoja yake %100

Badala yake Tutafute Sababu ya yeye Zarif kujiuzulu..
Nimekua tena tatizo mkuu.mie habari nimeleta nachanzo kama kunaniipokosea samahani uskwazike.kuhusu huyo Raisi nakubaliana nawewe nimwanamageuzi toka alipoingia madarakan ila kama wakurungwa wanataka kumlazmisha afate watakayo syo ajabu nae akajiuzulu
 
Bila ya Wairan kufanya Revolution na kuuondoa mfumo wa Serikali ya Kidini Extremists wataendelea kuisumbua Mashariki ya Kati na Dunia.
Tunaanzia Rwanda kwanza kule Iran Wananchi Wanapenda kutawalaliwa na DINI sio Venginevo Wananchi ndio walifanya Mapinduzi kumtoa SHAH !!!

na kumuweka Kiongozi mkuu wa kidini AYATOLLAH Ni Wananchi Wenyewe,,, NI Mapenz yao na mahaba yao Wenyewe !!!

Sasa wezi wa rasilimali Wanaojulikana Duniani kote kupitia MEDIA zao wanataka Tuwamini Eti Wananchi Awapendi Utawala wa Kiongozi mkuu ayatollah!!!!

. Wakaibe uko Ukraine sio Iran. IRAN KUNA UKUMU YA KIFO UKIPATIKANA uweleweki Usomeki UMEKWISHA !!

aka ka Tramp akana saut IRAN

Wanakunyonga Asubui tu .
 
Nimekua tena tatizo mkuu.mie habari nimeleta nachanzo kama kunaniipokosea samahani uskwazike.kuhusu huyo Raisi nakubaliana nawewe nimwanamageuzi toka alipoingia madarakan ila kama wakurungwa wanataka kumlazmisha afate watakayo syo ajabu nae akajiuzulu
Tupo pamoja mkuu nafuta neno Uwongo kwako nakaki na maoni yako.
 
Bila ya Wairan kufanya Revolution na kuuondoa mfumo wa Serikali ya Kidini Extremists wataendelea kuisumbua Mashariki ya Kati na Dunia.
Wewe mbona hufanyi huku kwenu hiyo revolution wacha mambo yao!
 
Ni Tanzania.
Shida yako Unaelewa lkn unajidai!!! uwelewi wairani Walejamaa Walikuwa na Rais mpenda UZUNGU Mabint Walikuwa Wanavaa kama Wazungu ukienda ma Beach vichupi tu Wairan wenyewe ndio wakakataa maisha ayo ya kijinga. !!!

Sasa Mapinduzi ili iweje tena wenyewe awataki Uzungu.. Awataki kupangiwa cha kufanya!!!!!
 
Mabint Walikuwa Wanavaa kama Wazungu ukienda ma Beach vichupi tu Wairan wenyewe ndio wakakataa maisha ayo ya kijinga. !!!
Huwezi kuwalazimisha watu waishi kama karne ya saba.
 
Kabla ya siasa za kifashist za Ayatollah, Iran ilikuwaa kinara wa maendeeleo na ustaarabu Mashariki ya kati. Baada ya siasa za kidini, maisha ya Wairan yamekuwa duni, yasiyo na mwanga wala uhakika. Kuuawa ni wakati wowote, ukionekana unahoji chochote ambacho Ayatollah anataka.
Hii umeisoma wapi au kutoka historia ya darasa la pili
 
Back
Top Bottom