Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance ana umri wa miaka 42, Makamu mteule wa Tanzania Ndejembi ana miaka 43.

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Nawashangaa wanao dai eti Makamu wa Rais ndg. Ndejembi bado kijana sana hivyo na fasi hiyo angeteuliwa mtu mzima aliye komaa.

Sasa tuangalie kwenye Taifa kubwa kama Marekani, Makamu wake wa Rais JD Vance ana umri wa miaka 42 kijana kabisa.

Ndugu Ndejembi ni kiongozi makini, mwadilifu na mchapakazi. Anasifa zote za kuwa Makamu wa Rais.
Tunampongeza na tuta muunga mkono.
 
Usikimbilie kutoa mifano ya Marekani ka vile kila wanachofanya wao ni sahihi na sisi tuwaige.
Hapa wanamaanisha kwamba umri uliopangwa kwa mtu kuwa raisi wa Tanzania ni miaka 45,kama yeye ana 43 inamaanisha kama bendera itapepea nusu mlingoti hatatosha kuirithi mikoba ya bosi wake,na hii italeta mvutano.
 
Elimu ,ELimu ,Elimu - ENL 2015.

Katiba inasema Rais inatakiwa awe na umri usiopungua 45 yrs ,likitokea la kutokea kama 17 March 2021 ,VP anawezaje kuwa Rais wakati umri hauruhusu?
 
Mara nyingi tunajilinganishaga na uko majuu pale tunaposhindwa tu ila wanapopatia wao aah sisi atupaoni (uhuru,democ,uwajibikaji,haki,sheria)
 
Nawashangaa wanao dai eti Makamu wa Rais ndg. Ndejembi bado kijana sana hivyo na fasi hiyo angeteuliwa mtu mzima aliye komaa.

Sasa tuangalie kwenye Taifa kubwa kama Marekani, Makamu wake wa Rais JD Vance ana umri wa miaka 42 kijana kabisa.

Ndugu Ndejembi ni kiongozi makini, mwadilifu na mchapakazi. Anasifa zote za kuwa Makamu wa Rais.
Tunampongeza na tuta muunga mkono.
Tanzania imeanza lini kutumia katiba ya Marekani na taratibu za Kimarekani? Mbona hausemi kwamba kwanini hatuwi na serikali za majimbo kama wao au haturuhusu uvutaji bangi kama wao au haturuhusu ushoga kama wao.
Je ni kweli huyo Ndejembi wa Kipemba amefikisha hiyo 43 yrs?
Screenshot_20260828_064026.jpg
Screenshot_20260828_064040.jpg
 
Elimu ,ELimu ,Elimu - ENL 2015.

Katiba inasema Rais inatakiwa awe na umri usiopungua 45 yrs ,likitokea la kutokea kama 17 March 2021 ,VP anawezaje kuwa Rais wakati umri hauruhusu?
Hapa tunazungumzia nafasi ya MAKAMU wa Rais na sio Rais.
 
Elimu ,ELimu ,Elimu - ENL 2015.

Katiba inasema Rais inatakiwa awe na umri usiopungua 45 yrs ,likitokea la kutokea kama 17 March 2021 ,VP anawezaje kuwa Rais wakati umri hauruhusu?
Kwa wakati huu tunazungumzia nafasi ya MAKAMU wa Rais sio nafasi ya Rais..
 
Elimu ,ELimu ,Elimu - ENL 2015.

Katiba inasema Rais inatakiwa awe na umri usiopungua 45 yrs ,likitokea la kutokea kama 17 March 2021 ,VP anawezaje kuwa Rais wakati umri hauruhusu?
Elimu labda upande wako maana kikatiba umri ni miaka 40. Hiyo 45 unetoa wapi?
P.s. Kwangu Mimi DEO hana uzoefu na nafasi nzito kama ya VP
 
Usikimbilie kutoa mifano ya Marekani ka vile kila wanachofanya wao ni sahihi na sisi tuwaige.
Hapa wanamaanisha kwamba umri uliopangwa kwa mtu kuwa raisi wa Tanzania ni miaka 45,kama yeye ana 43 inamaanisha kama bendera itapepea nusu mlingoti hatatosha kuirithi mikoba ya bosi wake,na hii italeta mvutano.
Sitegemei kama bado hajaelewa .
 
katiba ya Tz inasemaje kuhusu hili na sio marekani
 
Nawashangaa wanao dai eti Makamu wa Rais ndg. Ndejembi bado kijana sana hivyo na fasi hiyo angeteuliwa mtu mzima aliye komaa.

Sasa tuangalie kwenye Taifa kubwa kama Marekani, Makamu wake wa Rais JD Vance ana umri wa miaka 42 kijana kabisa.

Ndugu Ndejembi ni kiongozi makini, mwadilifu na mchapakazi. Anasifa zote za kuwa Makamu wa Rais.
Tunampongeza na tuta muunga mkono.
Ni kweli Nchimbi alikuwa hapendwi 💯 %?
 
Back
Top Bottom