Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris apigwa marufuku kuingia Urusi

Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris apigwa marufuku kuingia Urusi

Kuna nchi kama Ulaya na Marekani ukiwa unaenda ukoo mzima utakusindikiza airport

Urusi haitakiwi hata kuaga utaenda mwenyewe hakuna mtu yuko interested sana sana atakushangaa unaenda wapi urusiiiiiii!!!
Uko Tandahimba hapo, au Makambako, alafu unadiriki kuwasema hovyo wenye dunia yao? Uhuru umekuzidia wewe!
 
Uko Tandahimba hapo, au Makambako, alafu unadiriki kuwasema hovyo wenye dunia yao? Uhuru umekuzidia wewe!
Wewe mfano ukioa au kuolewa na mrusi au ukapewa uraia Urusi unadhani waweza jidai kuwa umetoboa kimaisha kama ukioa mwanamke mmarekani au wa Ulaya au kuoa mwanamke au kuolewa na mwanaume wa Ulaya na Marekani?

Ndoa na mrusi ni umaskini Mtupu

Binti yake Putin Tajiri hasa aliolewa na mzungu wa Ulaya sio Tajiri kama yeye fisadi mwenye pesa za baba yake fisadi Putin akamwambia tuhamie Urusi kwa baba yangu Putin tukale maisha mwanaume mumewe wa ndoa pesa anazo ila hazimfikii binti wa Putin hata nusu akagoma wakabwagana kwa talaka mwanaume wala hakuomba mgao wa mali wala nini akamuuliza mwanamke unataka nini nikupe ? Mtoto wa Putin akasema hahitaji chochote zaidi ya wewe kuja Urusi labda nikuulize wewe nikupe nini uje mume wangu uje Urusi usimamie mali za baba za mabilioni ya mafuta na gesi baba kazeeka mwananaume mumewe akasema sihitaji hata mia .Wakaachana kwa talaka hakuna upande unadai chochote talaka
Akagoma kwenda kuishi Russia mwanaume kuwa kule hakuna bata

Kuoa au kuolewa na mrusi ni umaskini tu
 
Unaenda kununua nini Urusi as individuals?
Naunga mkono hoja mia kwa mia

Urusi individual unaenda kununua ?

Ulaya,Asia na Marekani individual watanzania wananunua vitu kibao makontaina na makontaina kuanzia mitumba, stationery ,mavazi magari,used electronics products ,spares nk vingi vya daily use sio Russia
 
Unaenda kununua nini Urusi as individuals?
Urusi imefungua milango kila mtanzania anayetaka kwenda aende hakuna restriction

Lakini response zero nobody is interested

Urusi no no no
Marekani na Ulaya na Asia wangetangaza sasa hivi balozi zao zingekuwa overloaded kila mtu anataka kuhamia Asia ,Japan,China,Hong Kong Taiwan,korea kusini,Malaysia,Thailand nk

Russia hata watanzania awape uraia bure kuwa kila mtembelea Urusi hata awe mtalii au mwanafunzi anasoma Urusi kutoka Tanzania atapewa uraia bure sio rahisi kupata wahamiaji toka Tanzania


Mtanzania hata awe maskini vipi lakini hana mpango wa kuhamia Urusi hata bure hata umpe tiketi ya ndege ya bure sembuse huyo makamu wa Raisi wa Marekani
 
Hapo ni sawa kumpiga tembo kwa ubua
 
Back
Top Bottom