Makamu wa Rais wa Marekani kuanza ziara Tanzania kesho, dondoo kadhaa kuzijua

Makamu wa Rais wa Marekani kuanza ziara Tanzania kesho, dondoo kadhaa kuzijua

Naam...mama azichange karata zake vizuri, kukaa vizuri na kwa akili na wakubwa
Halafu atuombe msamaha kwa kutuletee ushoga. Ushahidi upo wamarekani wamekua wanatekeleza mpango kueneza ushoga usagaji na kila ushetani nchini kwetu na nchi nyingine. Waseme tumewakosea nini hadi kuanzisha mkakati kabambe kuharibu jamii yetu.
Alaaniwe harris na nchi yake walaaniwe.
 
Msikilize Raisi wetu kuhusu maadili. Mila na Tamaduni
Maadili na tamaduni zako kwa ulimwengu wa leo ni kutangaza vita tu isiyo na sababu. Tuweke mifumo madhubuti ya familia maana hakuna baba na mama watakao wanao wawe hovyo. Tukihubiri tamaduni na mila zetu kiujumla wakati familia zimeparaganyika (wazazi wametelekeza watoto, single mothers imekuwa fashion, watoto wanajikuza mitaani nk) hayo maadili yatashikwaje? Tukikamatana kwenye vijiji vyetu kwa mikutano na kukosoana na kuambiana UKWELI ( kwamba fulani tunza familia, fulani himiza watoto shule na mafunzo ya kidini nk) hawa wazungu hawatupati kabisa.
 
Halafu atuombe msamaha kwa kutuletee ushoga. Ushahidi upo wamarekani wamekua wanatekeleza mpango kueneza ushoga usagaji na kila ushetani nchini kwetu na nchi nyingine. Waseme tumewakosea nini hadi kuanzisha mkakati kabambe kuharibu jamii yetu.
Alaaniwe harris na nchi yake walaaniwe.
Hivi mtu akikushawishi unywe pombe lazima nawe unywe?
Tuache huu ujinga...ushoga wanaupenda Watanzania wenyewe hao wachache, hakuna mtu atakwambia udukuliwe nyuma ukubali kama sio tabia yako.
 
Watu wanataka kuunganisha imani za dini zao na sheria za nchi.
Shida ndipo inapoanzia hapo. Wanataka kuihamishia QURAN kwenye PENAL CODE.

Lakini cha ajabu zaidi wanachagua yale ambayo wanayataka wao tu. Mengine yaliyozungumziwa kwenye QUARAN kama vile uzinzi na pedophilia hawayazungumzii wanayakwepa kwa mwendokasi.

Na hivi juzi tu tulipata habari kwamba MTUME MUDI alibaka katoto cha darasa la pili, na kwa mujibu wa sharia alipaswa kupigwa mawe mpaka kifo.

Hilo hawalizungumzii. Wanamlinda MTUME.
 
Hivi mtu akikushawishi unywe pombe lazima nawe unywe?
Tuache huu ujinga...ushoga wanaupenda Watanzania wenyewe hao wachache, hakuna mtu atakwambia udukuliwe nyuma ukubali kama sio tabia yako.
Hapo ndipo ninaposhangaa hii kitu. [emoji1787]

Hivi inawezekanaje mtu akalazimishwa kufirwa?

Yaani Kamala akikwambia ukafirwe basi ghafla tu unaenda kugawa kijambio??

Bado bichwa langu hili halijaelewa vizuri hizi propaganda. Hata!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Akazie mila na tamaduni zetu.
Akazie vilevile, kuwa tuna maadili yetu. Biashara tunataka na uwekezaji tunataka, walakin usiwe wa upande mmoja.
Hana roho ngumu ya kuzungumza hiyo kauli!
 
Na Bwanku Bwanku.

Wakati huu, Makamu wa Rais wa Marekani Bi. Kamala Harris akitarajia kuanza ziara yake nchini Tanzania siku ya kesho Jumatano Machi 29, 2023, historia ya mahusiano ya Nchi hizi mbili ni ya kusisimua sana ikianza mwaka 1961, miaka 62 iliyopita.

Ni ziara ya kimkakati ya kuendeleza mashirikiano na Taifa ikijikita kuendeleza mahusiano katika maendeleo ya kiuchumi, mabadiliko ya tabianchi, usalama wa chakula, ongezeko la idadi ya Vijana, kukutana na Wasanii wa Afrika na Tanzania ili kuongea nao na kujua namna bora ya kufikisha mziki wao kwenye masoko makubwa ya muziki Marekani.

Ni ziara inayoendelea kuweka alama ya kazi kubwa anayoendelea kuifanya Rais Samia Suluhu Hassan katika kufungua Nchi kiuchumi na kuimarisha mahusiano ya kimataifa yanayoshusha Viongozi wakubwa kama hawa wa kidunia kuja kufungua zaidi uchumi wetu.

Kwa mujibu wa kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Marekani imewekeza zaidi ya Trilioni 11 kwenye miradi mbalimbali hapa Tanzania ambayo imetoa ajira zaidi ya 50,000 kwa Watanzania ambapo kwa ziara hii ya Makamu wa Rais, itazidi kuimarisha uhusiano huu wenye faida kubwa na kufungua zaidi fursa za uwekezaji na biashara kati ya Nchii hizi mbili.

Tukumbuke, Kiongozi mkubwa kama huyu wa Marekani anapokuja nchini, anakuja na ujumbe mkubwa (delegation) iliyo na Wawekezaji wakubwa wa Marekani, Wafanyabiashara na makundi mengine makubwa yanayoangalia maeneo ya uwekezaji na biashara na mwisho Taifa kupata uwekezaji mkubwa unaofungua ajira zaidi, uchumi na maendeleo.

View attachment 2568341View attachment 2568342
View attachment 2568345View attachment 2568346View attachment 2568453
Tangu kupata uhuru, Marekani ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza kubwa Duniani kuwa na uhusiano wa karibu na Tanganyika.

Mwalimu alikuwa rafiki mkubwa wa Rais Kenedy. Kifo cha Kenedy kilibadilisha sana mahusiano yetu. Kuingia kwa Rais Nixon, na sera zake za kimataifa kuwa Africa kwake siyo priority kulituweka mbali na Marekani, na hatimaye Mwalimu kwa hasira aliamua kujisogeza na mataifa ya Mashariki, jambo lililoufanya mpango wa maendeleo wa miaka 5 uliotakiwa kufadhiliwa na Ujerumani, ushindwe kutekelezeka kwa ukosefu wa fedha.

Tukalazimika kuanza na msingi mbaya kiuchumi.

Kurudi kwa uhusiano na mataifa makubwa kama Marekani na mengineyo, kutusaidie kurekebisha makosa ya mwanzo ili nasi siku moja tusimame kama Taifa.
 
Akazie mila na tamaduni zetu.
Akazie vilevile, kuwa tuna maadili yetu. Biashara tunataka na uwekezaji tunataka, walakin usiwe wa upande mmoja.
Tusijifanye watakatifu. Uovu siyo ushoga pekee.

Tuna maovu mengi kwenye jamii zetu kuliko hata hizo jamii zenye mashoga. Tutumie zaidi muda mwingi kupambana na maovu yetu kuliko ya watu wengine.
 
Halafu atuombe msamaha kwa kutuletee ushoga. Ushahidi upo wamarekani wamekua wanatekeleza mpango kueneza ushoga usagaji na kila ushetani nchini kwetu na nchi nyingine. Waseme tumewakosea nini hadi kuanzisha mkakati kabambe kuharibu jamii yetu.
Alaaniwe harris na nchi yake walaaniwe.
Tabia chafu za ulawiti zimekuwepo Tanzania, hasa mikoa ya pwani kwa miaka mingi, tusijifanye ni watakatifu.

Na ninyi mtaomba msamaha lini?
 
Marekani sio wageni Tanzania wanatufahamu vyema tu.

Hakuna jipya Toka kwa huyo mama wa kimarekani.

Ni business as usual tu.
 
Tusijifanye watakatifu. Uovu siyo ushoga pekee.

Tuna maovu mengi kwenye jamii zetu kuliko hata hizo jamii zenye mashoga. Tutumie zaidi muda mwingi kupambana na maovu yetu kuliko ya watu wengine.
Kwanza...Hakuna katika niliyowakilisha yanayo suggest kwamba nimezungumzia ushoga. Na hilo lieleweke.

Pili, kukujibu....sikubaliani na wewe kwa hata ndururu kwamba tuna maovu mengi kwenye jamii zetu/yetu na hapa ni Mwafrika/Mtanzania kuliko hizo jamii zenye Ushoga. Kwani ni dhana potofu.
.
Bams hulka/sifa za binadamu ni hulka/sifa za kibinadamu, kama una mawazo na fikra zinazoitazama Afrika kana kwamba tuna sifa tofauti kama zile za Wazungu basi uwe tayari kuchunguza na kuheshimu mila na desturi tofauti kati yao, kama unavyoonekana kuwa na uelewa wa utofauti wao.

nakushauri usijitendee dhuluma kwa kujidhalilsha kwani mwishowe wewe ndio unayeunga jamii unayoitazama kwa jicho baya..... Unajidhulumu mwenyewe. Ujuvi na maarifa yakuwa katika jamii

isitoshe, hakuna mtakatifu katika dunia hii ninayoijua mimi. Ila naelewa na historia inasema hakuna Waafrika waliyoenda Ulaya au Uarabuni kufanya uovu na kutaka kuwatawala!
Sodomy, imetumiwa na hao watu wa Ulaya na Uarabuni kama silaha ya kumfanya Mwafrika asujude matakwa yake kwani kwanza anamtaka atende dhambi halafu aje amwambie 'wee umetenda dhambi, tubu dhambi zako na usujudie mungu' tena mungu mtu. Au kwa lugha nyingine to extort, bribe, intimidate,milking etc etc yaani ni kana silaha. Kwa lugha nyingine amtawale.
 
Akizungumzia issue za LGBT apingwe na Rais wetu hadharani. Aambiwe haki za binadamu zina mipaka na hazifanani kutokana na tamaduni.

Ndio tuna matatizo mengi lakini zipo ajenda za kusukuma haki za mashoga kwenye hizi nchi zinazoonekana zina ushawishi huku Afrika. Tukitumika kama lango tumefungua laana.

Najua bado wapo wenzetu hawaoni nini kinakuja na ajenda ni zipi! Kuna mambo si ajenda za kawaida, ni mifumo ya giza yanapambania ajenda zao za kishetani.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom