Halafu atuombe msamaha kwa kutuletee ushoga. Ushahidi upo wamarekani wamekua wanatekeleza mpango kueneza ushoga usagaji na kila ushetani nchini kwetu na nchi nyingine. Waseme tumewakosea nini hadi kuanzisha mkakati kabambe kuharibu jamii yetu.Naam...mama azichange karata zake vizuri, kukaa vizuri na kwa akili na wakubwa
Maadili na tamaduni zako kwa ulimwengu wa leo ni kutangaza vita tu isiyo na sababu. Tuweke mifumo madhubuti ya familia maana hakuna baba na mama watakao wanao wawe hovyo. Tukihubiri tamaduni na mila zetu kiujumla wakati familia zimeparaganyika (wazazi wametelekeza watoto, single mothers imekuwa fashion, watoto wanajikuza mitaani nk) hayo maadili yatashikwaje? Tukikamatana kwenye vijiji vyetu kwa mikutano na kukosoana na kuambiana UKWELI ( kwamba fulani tunza familia, fulani himiza watoto shule na mafunzo ya kidini nk) hawa wazungu hawatupati kabisa.Msikilize Raisi wetu kuhusu maadili. Mila na Tamaduni
Hivi mtu akikushawishi unywe pombe lazima nawe unywe?Halafu atuombe msamaha kwa kutuletee ushoga. Ushahidi upo wamarekani wamekua wanatekeleza mpango kueneza ushoga usagaji na kila ushetani nchini kwetu na nchi nyingine. Waseme tumewakosea nini hadi kuanzisha mkakati kabambe kuharibu jamii yetu.
Alaaniwe harris na nchi yake walaaniwe.
Shida ndipo inapoanzia hapo. Wanataka kuihamishia QURAN kwenye PENAL CODE.Watu wanataka kuunganisha imani za dini zao na sheria za nchi.
Hapo ndipo ninaposhangaa hii kitu. [emoji1787]Hivi mtu akikushawishi unywe pombe lazima nawe unywe?
Tuache huu ujinga...ushoga wanaupenda Watanzania wenyewe hao wachache, hakuna mtu atakwambia udukuliwe nyuma ukubali kama sio tabia yako.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hapo ndipo ninaposhangaa hii kitu. [emoji1787]
Hivi inawezekanaje mtu akalazimishwa kufirwa?
Yaani Kamala akikwambia ukafirwe basi ghafla tu unaenda kugawa kijambio??
Bado bichwa langu hili halijaelewa vizuri hizi propaganda. Hata!
Hana roho ngumu ya kuzungumza hiyo kauli!Akazie mila na tamaduni zetu.
Akazie vilevile, kuwa tuna maadili yetu. Biashara tunataka na uwekezaji tunataka, walakin usiwe wa upande mmoja.
Mliberali uyo wala asikuumize kichwa!Una hasira sana.
Umesahahu daku leo?
Hayo yote uliyoorodhesha ni yako.
Wacha nicheke. Unadharau sana Ati tuna maadili gani? Tumbafu kabisa
Mliberali mwenye Komwe.Mliberali uyo!
Hapo ulipo umechomekea Taulo ya Yuesiedi....Ujinga ni ugonjwakaja kupigia promo ufuska hana lolote huyo
kwa sababu tu nimekusaidia unaniruhusu nimgonge mkeo?Hapo ulipo umechomekea Taulo ya Yuesiedi....Ujinga ni ugonjwa
Tauolo teh teh....umeibebea bango endereya kujitangaza .kwa sababu tu nimekusaidia unaniruhusu nimgonge mkeo?
akili yako ni zaidi ya ile ya kuku analishwa ili achinjwe
Tangu kupata uhuru, Marekani ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza kubwa Duniani kuwa na uhusiano wa karibu na Tanganyika.Na Bwanku Bwanku.
Wakati huu, Makamu wa Rais wa Marekani Bi. Kamala Harris akitarajia kuanza ziara yake nchini Tanzania siku ya kesho Jumatano Machi 29, 2023, historia ya mahusiano ya Nchi hizi mbili ni ya kusisimua sana ikianza mwaka 1961, miaka 62 iliyopita.
Ni ziara ya kimkakati ya kuendeleza mashirikiano na Taifa ikijikita kuendeleza mahusiano katika maendeleo ya kiuchumi, mabadiliko ya tabianchi, usalama wa chakula, ongezeko la idadi ya Vijana, kukutana na Wasanii wa Afrika na Tanzania ili kuongea nao na kujua namna bora ya kufikisha mziki wao kwenye masoko makubwa ya muziki Marekani.
Ni ziara inayoendelea kuweka alama ya kazi kubwa anayoendelea kuifanya Rais Samia Suluhu Hassan katika kufungua Nchi kiuchumi na kuimarisha mahusiano ya kimataifa yanayoshusha Viongozi wakubwa kama hawa wa kidunia kuja kufungua zaidi uchumi wetu.
Kwa mujibu wa kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Marekani imewekeza zaidi ya Trilioni 11 kwenye miradi mbalimbali hapa Tanzania ambayo imetoa ajira zaidi ya 50,000 kwa Watanzania ambapo kwa ziara hii ya Makamu wa Rais, itazidi kuimarisha uhusiano huu wenye faida kubwa na kufungua zaidi fursa za uwekezaji na biashara kati ya Nchii hizi mbili.
Tukumbuke, Kiongozi mkubwa kama huyu wa Marekani anapokuja nchini, anakuja na ujumbe mkubwa (delegation) iliyo na Wawekezaji wakubwa wa Marekani, Wafanyabiashara na makundi mengine makubwa yanayoangalia maeneo ya uwekezaji na biashara na mwisho Taifa kupata uwekezaji mkubwa unaofungua ajira zaidi, uchumi na maendeleo.
View attachment 2568341View attachment 2568342
View attachment 2568345View attachment 2568346View attachment 2568453
Tusijifanye watakatifu. Uovu siyo ushoga pekee.Akazie mila na tamaduni zetu.
Akazie vilevile, kuwa tuna maadili yetu. Biashara tunataka na uwekezaji tunataka, walakin usiwe wa upande mmoja.
Tabia chafu za ulawiti zimekuwepo Tanzania, hasa mikoa ya pwani kwa miaka mingi, tusijifanye ni watakatifu.Halafu atuombe msamaha kwa kutuletee ushoga. Ushahidi upo wamarekani wamekua wanatekeleza mpango kueneza ushoga usagaji na kila ushetani nchini kwetu na nchi nyingine. Waseme tumewakosea nini hadi kuanzisha mkakati kabambe kuharibu jamii yetu.
Alaaniwe harris na nchi yake walaaniwe.
Kwanza...Hakuna katika niliyowakilisha yanayo suggest kwamba nimezungumzia ushoga. Na hilo lieleweke.Tusijifanye watakatifu. Uovu siyo ushoga pekee.
Tuna maovu mengi kwenye jamii zetu kuliko hata hizo jamii zenye mashoga. Tutumie zaidi muda mwingi kupambana na maovu yetu kuliko ya watu wengine.