Makamu wa rais wa Tanzania ni mtaalamu wa nuclear

Naona akili yako aitaki kabisa kukubali kama Dr Bilal, ni mtaalam wa nucler.

Hicho kidudu mtu ulichoandika hapo kwenye bold kwanza sikifahamu.

Hata kabla ya hii thread nilikuwa nafahamu Dr Bilal ni bingwa wa Nuclear Physics.

I respect Dr Bilal because he is a true intellect. Huyu boss wake ni Dr wa kitu gani? Au ndo kama Dr Manyaunyau?
 
Huyu jamaa sio mchezo.Shukrani nimetambua niliyokuwa sijui kuhusu hili Jembe. Salute!
 
Huyu jamaa sio mchezo. Shukrani nimejua ambayo nilikuwa sijui kuhusu hili Jembe.Salute!
 
mkapa pengine amemuita kanjanja kwa kuwa anajua alikua muandishi bila kuwa na mahali maalum pa kupeleka habari zake alizoandika,ndio definition ya kanjanja according to pasco lowassa wa jf
Una hakika? Hili la Pasco kuwa "Pasco Lowassa" ndiyo unanitanabahisha wewe!!
 
His credintials are all true but the quastion is why is he not using all his education to aliviate the problems of Tanzanians. Who/What is holding him back?
 
His credintials are all true but the quastion is why is he not using all his education to aliviate the problems of Tanzanians. Who/What is holding him back?
Atengeneze nyuklia? Labda na kwa kuwa tuna urani hapa nchini itakuwa poa!
 
Kariakoo!Kariakoo!Kariakoo Kuna nini? Mbona Hoja ya msingi mmeiacha?
 
Kariakoo!Kariakoo!Kariakoo Kuna nini? Mbona Hoja ya msingi mmeiacha?
Mtaalam wa Nyuklia Dr. Mohamed Gharib Billal pia aliwahi kuishi Kariakoo! Watu wakiongea kitu ambacho sikijui huwa najisikia vibaya!
 
Watakwambia ulianzia Butiama.
Roho mbaya tu......watu wamekuja na kaptula tu hapa mjini na suruali ya kwanza wameshonewa kariakoo,mbona hawakuzianzishia hizo harakati huko bara kama kazi ilikua rahisi
 

OMG!
sad! sad! sad!
 
Sijaelewa mleta sredi kuiweka ktk kundi la Tetesi! Kwa nini haku-google akaleta kitu kamili? Huyu naye ni GT? Jambo la wazi kabisa anasema Tetesi?
 
Huyu alipata U dokta baada ya kuwagaragaza CHADEMA.

Wakati mwingine dada yangu Faiza Foxy wewe ni mgomvi.Hiyo dr ya mkuu na CDM wapi na wapi! .

Imebidi nikuzoee niwe nacheka tu....
Kweli Jf ni zaidi ya social netiweki....
 
This is crazy shit, this guy Bilal has 00% performance, no results seen in leadership, all these mbwembwes za nini?
He is not a LEADER, period...!!! he has neither policies nor politics, undefinable, have u had his speeches? ooohh... we never had Vice p ambaye kwa my thinking has less performance kama huyu, tangia Zanz, huyu sio Kiongozi at all, na haki na uhuru wa kusema hafai kuwa
kiongozi, kama mshauri wa karibu wa Rais tungeona matokeo ya uongozi wake kwa vitendo na si maneno tu, tu, anaongea vitu vya kusifiaaaa tu no tangible results tunaona, being a Nuclear scientist doesn't mean he is a LEADER, HATUWATAKI WATAWALA WANAOTOA HISTORY ZA MIAKA KADHAA ILIYOPITA NA KULINGANISHA NA SASA THEN HARAKA HARAKA ANAKWAMBIA TUMEPIGA MAENDELEO, tunataka VIONGOZI WANAOTUPA STRATEGIC, OPEN PLANS ON WAY FORWARD TUNAFANYA NINI TUJUE MWELEKEO WA KESHO NA SI WANAOTOA HISTORY i am done
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…