Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kweli umehamia mkuranga
Naona akili yako aitaki kabisa kukubali kama Dr Bilal, ni mtaalam wa nucler.
Mkuu unajua tena simu za kichina. ni kweli nimechanganya. Vipi Rage bado anakuja hapo kijiweni? The Big Mayai vipi?unachanganya,aliehamia mkuranga ni faiza.mi sikupata tu taarifa za msiba,nadhani kwa kuwa hawakuzika mjini ndio,inaweza kuwa sababu,pia sijapita kt wala saigon mwezi sasa.
Nyuklia ipi? Maana kuna nyuklia za aina nyingi kama ya ile kula maharage, mayai na ukachanganya na Mtindi hapo lazima uproduce nyuklia
Mkuu unajua tena simu za kichina. ni kweli nimechanganya. Vipi Rage bado anakuja hapo kijiweni? The Big Mayai vipi?
Duh mkuu Udoe na Lumumba? Kwenye flats au?Kama sikosei kijiwe cha Saigon kimehama pale Sikukuu, huwa nawaona kina Hussein (Yanga) pale nyumba ya Bakhresa Narung'ombe na Livingston. Huyu Yanga, kwetu ni mtaa mmoja, wao pale Udoe, mimi Udoe na Lumumba marehem mdogo wake Shufaa, tumekuwa nae ingawa yeye alikuwa kidogo mdogo kwetu. Mkandara anawajuwa sana hawa, ananambia ndio ilikuwa mitaa yake.
Mkuu nadhani Dr. Billal naye ni mzalendo. Angeweza kwenda mataifa mengine kufanya kazi za kurutubisha urani lakini yeye akarudi na kuwafunza vijana wetu. Kwa level yetu hatuwezi kutimia urani kwa ajili ya kutengeneza nuklia umeme! Kwa africa nadhani nchi ambayo kidooogo inaweza.ni south africa.Kumbuka nguvu za nyukilia zilivyoitesa Japan mwaka jana.ninauhakika na utaalamu wake amesome na kufuzu kwenye sekta hii ya nuklia zaidi miaka 15 iliyopita ,
LAKINI WATAALAMU KAMA HAWA TUNAO WENGI KWENYE NCHI YETU AMBAO HAWANA MANUFAA YOYOTE ZAIDI YA KUTUNDIKA VYETI VYAO UKUTANI NA KUONESHA PICHA ZAO ZA GRADUATION !!!!!
tangu alipomaliza masomo yake tuko gizani yuko kwenye SYSTEM tuko gizani atakufa atatuacha gizani na yeye atakwenda gizani
sasa mtaalamu kama huyu anafaida gani kwenye taifa hili zaidi ya cheti chake kutumika kama CV ya kujipatia madaraka ???
TANZANIA ITAJENGWA NA WATU WANAO IPENDA NCHI YAO KAMA MH MKONO
ndiyo maana sikuhizi viongozi wazee unawakuta open uni kujichukulia nondo za kizushi , mueke kwenye kiti moto na umuulize masuali ya cheti alichosomea pumba tupu ,
Duh mkuu Udoe na Lumumba? Kwenye flats au?
..sasa hebu jiulizeni wanafunzi wangapi wana graduate pale UDSM with a masters in Nuclear Physics or Nuclear Engineering?
..huwezi kumlinganisha Dr.Gharib Bilali na mtu kama Philemon Sarungi ambaye alirudi nyumbani na kuwa muasisi wa kitengo cha Orthopedic Surgery pale Muhimbili na juhudi zake zimepelekea mpaka kuanzisha kitengo cha MOI.
Chungulia hapa utaipata.Jakaya Kikwete - Wikipedia, the free encyclopediaHuyu ndio Doctor, a real doctor I should say, PHD in nuclear physics.
Tunaomba na education background of his Big Boss JK, I hear people calling him Dr. JK.
Jokakuu,
Hata kama Sarungi hasingerudi orthopedic Surgery ingeanza kwa sababu huduma za afya zinapewa kipaumbele na sera za serikali nyingi.
Kwa upande mwingine, Nuclear Science ni fani ambayo inategemea serikali zilizo na sera za kutumia technologia hiyo katika mambo ya ulinzi na nishati. Tanzania haina sera hizo. Hivyo huwezi kuona michango ya watu wenye fani hizo.
Zakumi,
..kuna vitengo vingi sana vingeweza kuanzishwa pale Muhimbili lakini kimeanzishwa hiki cha MOI.
..lazima tupongeze juhudi za Prof.Sarungi. Pia ukipata habari toka insiders wa Muhimbili utajua kwamba it wasnt that easy kwa Prof.Sarungi ukizingatia kwamba alihitimu toka Eastern Europe.
..kuhusu Dr.Bilali may be alishawishi kuhusu masuala ya Teknolojia ya Nyuklia lakini hakuna aliyemsikiliza.
Zakumi,
..kuna vitengo vingi sana vingeweza kuanzishwa pale Muhimbili lakini kimeanzishwa hiki cha MOI.
..lazima tupongeze juhudi za Prof.Sarungi. Pia ukipata habari toka insiders wa Muhimbili utajua kwamba it wasnt that easy kwa Prof.Sarungi ukizingatia kwamba alihitimu toka Eastern Europe.
..kuhusu Dr.Bilali may be alishawishi kuhusu masuala ya Teknolojia ya Nyuklia lakini hakuna aliyemsikiliza.
Hivi Prof Sarungi yuko wapi na akafanya nini siku hizi?Kumbe alisomea Eastern Europe
Kutokana na mazingira ya kikazi ya academia naona wote walifanya vile vilivyowezekana kutokana na vile walivyosomea na nafasi walipokuwa wanafanya kazi.
Kwa sababu walihamua kujiingiza kwenye siasa, inaonyesha kuwa priorities za nchi hazipo sahihi.