Makamu wa rais wa Tanzania ni mtaalamu wa nuclear

Mmoja wa wataalamu wa chache waliobaki Tz tatizo hizi siasa ni balaa kwa kweli
 
Mkuu kweli umehamia mkuranga

unachanganya,aliehamia mkuranga ni faiza.mi sikupata tu taarifa za msiba,nadhani kwa kuwa hawakuzika mjini ndio,inaweza kuwa sababu,pia sijapita kt wala saigon mwezi sasa.
 
quote_icon.png
By MtamaMchungu
Huyu ndio Doctor, a real doctor I should say, PHD in nuclear physics.

Tunaomba na education background of his Big Boss JK, I hear people calling him Dr. JK.

Naona akili yako aitaki kabisa kukubali kama Dr Bilal, ni mtaalam wa nucler.

Nikiona comment hiyo ya kwanza na ulichokanusha we ritz ndo naconclude kwamba una matatizo ya akili. Ni wapi sasa hapo alipokanusha kuwa Bilal sio DR. We una problem kinachofanya kazi kwako ni medula Oblangata.........matendo yako siyo ya hiari.......si ajabu ukakuta huwa unajampa in public
 
unachanganya,aliehamia mkuranga ni faiza.mi sikupata tu taarifa za msiba,nadhani kwa kuwa hawakuzika mjini ndio,inaweza kuwa sababu,pia sijapita kt wala saigon mwezi sasa.
Mkuu unajua tena simu za kichina. ni kweli nimechanganya. Vipi Rage bado anakuja hapo kijiweni? The Big Mayai vipi?
 
Nyuklia ipi? Maana kuna nyuklia za aina nyingi kama ya ile kula maharage, mayai na ukachanganya na Mtindi hapo lazima uproduce nyuklia
 
hahahha...kudadeki! Hii imeleta commercial break tosha....
In a serious note, ivi na elimu yote hiyo amekubali kugarazwa na siasa? Yani unasoma kote huko alafu unaenda kufanya siasa? What does that say about him? Kweli tunatia aibu tu sasa...
 
Mkuu unajua tena simu za kichina. ni kweli nimechanganya. Vipi Rage bado anakuja hapo kijiweni? The Big Mayai vipi?

Kama sikosei kijiwe cha Saigon kimehama pale Sikukuu, huwa nawaona kina Hussein (Yanga) pale nyumba ya Bakhresa Narung'ombe na Livingston. Huyu Yanga, kwetu ni mtaa mmoja, wao pale Udoe, mimi Udoe na Lumumba marehem mdogo wake Shufaa, tumekuwa nae ingawa yeye alikuwa kidogo mdogo kwetu. Mkandara anawajuwa sana hawa, ananambia ndio ilikuwa mitaa yake.
 
ninauhakika na utaalamu wake amesome na kufuzu kwenye sekta hii ya nuklia zaidi miaka 15 iliyopita ,

LAKINI WATAALAMU KAMA HAWA TUNAO WENGI KWENYE NCHI YETU AMBAO HAWANA MANUFAA YOYOTE ZAIDI YA KUTUNDIKA VYETI VYAO UKUTANI NA KUONESHA PICHA ZAO ZA GRADUATION !!!!!

tangu alipomaliza masomo yake tuko gizani yuko kwenye SYSTEM tuko gizani atakufa atatuacha gizani na yeye atakwenda gizani

sasa mtaalamu kama huyu anafaida gani kwenye taifa hili zaidi ya cheti chake kutumika kama CV ya kujipatia madaraka ???

TANZANIA ITAJENGWA NA WATU WANAO IPENDA NCHI YAO KAMA MH MKONO

ndiyo maana sikuhizi viongozi wazee unawakuta open uni kujichukulia nondo za kizushi , mueke kwenye kiti moto na umuulize masuali ya cheti alichosomea pumba tupu ,
 
Duh mkuu Udoe na Lumumba? Kwenye flats au?
 
Mkuu nadhani Dr. Billal naye ni mzalendo. Angeweza kwenda mataifa mengine kufanya kazi za kurutubisha urani lakini yeye akarudi na kuwafunza vijana wetu. Kwa level yetu hatuwezi kutimia urani kwa ajili ya kutengeneza nuklia umeme! Kwa africa nadhani nchi ambayo kidooogo inaweza.ni south africa.Kumbuka nguvu za nyukilia zilivyoitesa Japan mwaka jana.
 
..sasa hebu jiulizeni wanafunzi wangapi wana graduate pale UDSM with a masters in Nuclear Physics or Nuclear Engineering?

..huwezi kumlinganisha Dr.Gharib Bilali na mtu kama Philemon Sarungi ambaye alirudi nyumbani na kuwa muasisi wa kitengo cha Orthopedic Surgery pale Muhimbili na juhudi zake zimepelekea mpaka kuanzisha kitengo cha MOI.
 
Jokakuu,

Hata kama Sarungi hasingerudi orthopedic Surgery ingeanza kwa sababu huduma za afya zinapewa kipaumbele na sera za serikali nyingi.

Kwa upande mwingine, Nuclear Science ni fani ambayo inategemea serikali zilizo na sera za kutumia technologia hiyo katika mambo ya ulinzi na nishati. Tanzania haina sera hizo. Hivyo huwezi kuona michango ya watu wenye fani hizo.
 
Zakumi,

..kuna vitengo vingi sana vingeweza kuanzishwa pale Muhimbili lakini kimeanzishwa hiki cha MOI.

..lazima tupongeze juhudi za Prof.Sarungi. Pia ukipata habari toka insiders wa Muhimbili utajua kwamba it wasnt that easy kwa Prof.Sarungi ukizingatia kwamba alihitimu toka Eastern Europe.

..kuhusu Dr.Bilali may be alishawishi kuhusu masuala ya Teknolojia ya Nyuklia lakini hakuna aliyemsikiliza.
 
Hivi Prof Sarungi yuko wapi na anafanya nini siku hizi?Kumbe alisomea Eastern Europe
 
Zakumi,

..kuna vitengo vingi sana vingeweza kuanzishwa pale Muhimbili lakini kimeanzishwa hiki cha MOI.

..lazima tupongeze juhudi za Prof.Sarungi. Pia ukipata habari toka insiders wa Muhimbili utajua kwamba it wasnt that easy kwa Prof.Sarungi ukizingatia kwamba alihitimu toka Eastern Europe.

..kuhusu Dr.Bilali may be alishawishi kuhusu masuala ya Teknolojia ya Nyuklia lakini hakuna aliyemsikiliza.

Kutokana na mazingira ya kikazi ya academia naona wote walifanya vile vilivyowezekana kutokana na vile walivyosomea na nafasi walipokuwa wanafanya kazi.

Kwa sababu walihamua kujiingiza kwenye siasa, inaonyesha kuwa priorities za nchi hazipo sahihi.
 
..there has to be a revolving door kati ya akademia, siasa, sekta binafsi, etc etc.

..haiwezekani tuwe na wahadhiri wa Political Science ambao hawajashiriki ktk harakati zozote za kisiasa, au hata kutoa ushauri kwa vyama vya siasa na wagombea.

..pia majaji wastaafu na mawakili wanaweza kuwa wahadhiri wazuri ktk idara za sheria ktk vyuo vyetu vikuu.

..tatizo letu ni kwamba hatusomeshi wataalamu wa kutosha. sasa akitokea mtu kama Sarungi kwenda kushiriki siasa basi watu wanaanza kulalamika kwamba utaalamu wake unapotea.

NB:

..katika wagombea wanaochuana kupata tiketi ya kum-challenge Obama, yumo Daktari.Ron Paul.
 
Back
Top Bottom