Ibada hiyo pia imehudhuriwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mawaziri pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali.
Naona mahubiri yamemuingia hasa cheki alivyokaa🤣🤣🤣
Kwahio aliyeleta UZI amepotoshaNimesikiliza videoclip yote sijasikia neno “Kuagiza”!