Makamu Waziri Mkuu - kuwa upande wa WAKULIMA anza na haya:

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
SALAAM!
# Wakulima wa tumbaku wa hapa Biharamulo (Kalenge) kutolipwa fedha za mauzo ya tumbaku musimu huu - ni takriban 100,000USD wanaidai KAMPUNI iitwayo Mkwawa Leave Tobacco Ltd;

# Rushwa - usafiri na usafirishaji hususan magari yafanyayo safari za Nyakanazi - Kakonko ambapo kila dereva wa gari ndogo (Probox) hutoa gate pass kila siku 30,000/=;

# Madaraja ya tumbaku ya wizi na unyonyaji kwa Wakulima. Fikiria mche wa tumbaku huwa na vishada visivyozidi 30 lkn grades za tumbaku zipo 64.

# Wafanyabiashara wa mafuta - hawa wkt mwingine huhifadhi mafuta ili yaadimike kisha wauze kwa bei ghali. Lkn pia upande wa Serikali kutoza kodi kubwa inachochea w/biashara hao kupigana ya chini kwa chini sambamba na migomo.

# Matumizi kengeufu ya political vote au self help scheme. Hizi fedha za miradi ya kujitegemea kwa Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa na Wabunge nyingi hutumika visivyo - 90% huelekezwa ktk huduma za kijamii huku uzito mdogo ukiwekwa ktk huduma za kiuchumi. Hatuwezi achana na umasikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…