Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
- Thread starter
-
- #21
hizo akili akiongezea na juhudi darasani lazma awe profesaAsante kwa ushauri ndugu yangu mpigamsuli. Mwenye Enzi najua atamlinda kama alivyowalinda kaka zake. Kana maakili sana hadi naogopa. Ukiongea naye utafikiri ni mtu mzima wa kama miaka 15 hivi. kumbe wapi!! Anataka kujua kila kitu,hata kuendesha gari utafikiri anaweza.
hizo akili akiongezea na juhudi darasani lazma awe profesa
chezea msuli binafsi unaochanganyika na stress za maisha lazma adateUsimsikilize mpiga msuli...kitabu kinamchanganya.
chezea msuli binafsi unaochanganyika na stress za maisha lazma adate
huenda ni mtu yuleyule..jamani mbona watu wanapatana alafu mwingine anapigwa ban...inakuaje hapa??