Makamuzi na mpigamsuli ugomvi umeishaaa

Makamuzi na mpigamsuli ugomvi umeishaaa

Asante kwa ushauri ndugu yangu mpigamsuli. Mwenye Enzi najua atamlinda kama alivyowalinda kaka zake. Kana maakili sana hadi naogopa. Ukiongea naye utafikiri ni mtu mzima wa kama miaka 15 hivi. kumbe wapi!! Anataka kujua kila kitu,hata kuendesha gari utafikiri anaweza.
hizo akili akiongezea na juhudi darasani lazma awe profesa
 
vijana nendeni kwenye chit chat kule kutawafaa zaidi hapa ni jukwaa la elimu si mahala pa stories za vijiweni
 
jamani mbona watu wanapatana alafu mwingine anapigwa ban...inakuaje hapa??
 
jamani mbona watu wanapatana alafu mwingine anapigwa ban...inakuaje hapa??
huenda ni mtu yuleyule..
hawa watoto kama wamechoka kukaa sebuleni kwa ustarabu bora waende nje 'wakabake' panzi
 
Back
Top Bottom