Makange ya kuku

Makange ya kuku

Yaani kuku mwekundu unambadili rangi awe mwekundu
Mfano hapa namuandaa samaki umeona alivyo badirika rangi
1740150625149.jpeg
 
Kuna sehemu nilikula hicho chakula ila kuku alikua wa kienyeji, kuku mgumu mbayaa nilikasirika nikasema siji rudia kula ila hapa naona umenitamanisha tena. Nitajaribu kupika mwenyewe nione.
 
Kama kuku wa kienyeji mchemshe kwanza kama wakisasa utainjoy
 
kitalembwa aliombaa hii

Kwanza muandae kuku wako au samaki vizuri mimi nilipata kuku wa kisasa nika mkata nusu kama hivi
View attachment 3244235
Kwanza nilimuwekea viungo
Food color
Tangawizi ya kusagwa na chumvi
View attachment 3244236
Nimamuacha kama lisaa hivi ili viungo vikolee nikaendelea na mambo mengine
Baada ya kulizika na mda na kuona kuki viungo vimekolea nikaanza kuweka mafuta kwenye sufuria baada ya kupata moto nikamuweka kuku wangu kumkaanga

View attachment 3244239
Baada ya kuona kuku amekaangika vizuri
View attachment 3244244
Baada ya hpo nikachukua vitunguu vyangu ambavyo nilivikata vizuri tu nikaweka
View attachment 3244245
Vitunguu viziungue vilegee tu kama hivi usilazimieshe mpaka vibadilike rangi itakuwa mbaya
View attachment 3244247
Nilipo lizika na uivaji wa kitunguu nikaamua kuweka hoho nilikata kwa style ya kusimama
View attachment 3244249
Baada ya hpo nikaweka karoti
View attachment 3244252
Ili ukate karot stlye hii lazima karot yako uilaze hivi na usiisimamishe
View attachment 3244253
Baada ya hapo nikaweka nyanya kidogo tu wengine wana tumia tomato past mm siipend naon ina utamu utamu so nilisaga nyanya kidog tu moja tu niliisaga wengine hawaweki kabisa nyany ni wewe na mapenzi yako mimi nilipenda hivi
View attachment 3244255
Nika koroga ili mchanganyiko uwe mzuri zaidi
View attachment 3244257
Na makange yangu yangubyalikuwa hivyo kuku ni mtamu sana unaweza ukalia chips ndizi Half american napenda sana ndizi 😂 au ugali chakula chochote kile na mlo wakonukawa mzuri sana
Hongera sana, mshahara Bado sijapata nitafanya hivyo!
 
Napenda sana kuku ila makange sijawahi kula sipendi kuku wa minyanya ila wa kukaanga😋
 
Back
Top Bottom