Makanisa mengi leo, hususani yanayojiita ya Kiroho yamekosa maana: Useless church

Makanisa mengi leo, hususani yanayojiita ya Kiroho yamekosa maana: Useless church

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
5,628
Reaction score
6,411
Kanisa la leo limekosa maana, linajificha nyuma ya Mungu na kuomba badala ya kuuathiri ulimwengu kwa sheria na kanuni za Mungu. Kwa nini kanisa limekosa maana? Kulingana na uzoefu binafsi, kupitia hotuba mbalimbali za watumishi wa Mungu akiwepo Hayati Dr. Myles Munroe, Kanisa kukosa maana kunatokana na sababu zifuatazo:

  • Kukosa mpango sahihi hapa Duniani.
  • Kujikita sana kuhusu mpango ya mbinguni na siyo ya Duniani licha ya uwepo wake hapa Duniani.
-Kanisa kusisitiza thiolojia ya kuachana na dunia badala ya kuibadili Dunia
-Kanisa kujiwekea mipango nje ya Dunia na Kujikita kwenye kujitenga na kupita(upitaji).
-Kanisa kusahau kuwa kila kitu kina mpango unaoathiri na kushawishi- Kanisa linajiandaa kunyakuliwa.

Mpango huathiri, hushawishi na hutawala mabadiliko katika jamii. Kanisa ni sehemu ya jamii ambayo kutokana na hoja hizo ni dhahiri kuwa Kanisa leo linaathiriwa, linashawishiwa na linanatawaliwa.
"The church is ineffective and hide behind God and praying rather than influencing the world with God's laws and principles".
 
Back
Top Bottom