T tripof JF-Expert Member Joined Apr 2, 2024 Posts 829 Reaction score 1,120 Sep 8, 2024 #1 Hali ya usalama ya sasa si nzuri watu wanapotea mno makanisa nayo yamekuwa chawa hayasemi mpaka watu wanauawa No hii haiwezekani waumini wenu kupotezwa na nyiniyi mnachekelea utume wenu uko wapi. Au na nyinyi ni sehemu ya yanayofanyika!
Hali ya usalama ya sasa si nzuri watu wanapotea mno makanisa nayo yamekuwa chawa hayasemi mpaka watu wanauawa No hii haiwezekani waumini wenu kupotezwa na nyiniyi mnachekelea utume wenu uko wapi. Au na nyinyi ni sehemu ya yanayofanyika!