Makanisa na vinanda/miziki kama kawaida yao

Haya madisco kwenye kumbi za starehe na bar zinakera kwelikweli. Watu miaka nenda miaka rudi hakuna anayelalamika , watu wameridhika. Lakini linalohusu Mungu malalamiko ni mengi!!
Nashangaaa
 
Mbona mbinu mlishapewa na yule RC wa Mbeya
 
fanya mikakati uhame eneo hilo maana naona unakereka na ibada za wenzio waache wamsifu Mungu wao
 
Hivi kwa nini Wizara husika haichukui hatua pamoja na malalamiko yote haya toka kwa wananchi? Au mpaka Mheshimiwa Rais aingilie kati?
 
Hiz Azana pia nazo znatusumbua asubuh
kwa hapa waislam nawatetea, adhana ni sauti ya wito wa mara moja au mbili, ambayo wengi hutukumbusha kuwa kumekaribia kukucha tunaanza kujiandaa kwenda kazini, ibada za makanisani hukesha na mziki mkubwa wengine huweka cd za maombi usiku kucha zinapigia watu kelele, kuanzia saa 4 usiku hadi asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…