MaKanisa ya kilokole si sehemu sahihi ya kupata mke

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,853
Reaction score
4,503
Yes,wengi wanajidanganya.

Kijana,ukifikia umri kwamba saa unataka kutulia uwe na familia,basi usifikiria kanisani kama sehemu sahihi ya kupata mke mwema na mwenye historia iliyo nyoka hususani kwa haya makanisa ya kilokole.

Wanawake wengi baada yakutumik sana,na kufanya kila aina ya ushenzi ,kuna umri wakifika wanaanza kufikiria kuwa na mume tena mtulivuhivyo wanachgua kukimbilia kanisani kama sehemu ya kustaafu yale madudu yao ili waonekane ni watu wazuri,ili hali walikuwa chawote.
 
Attachments

  • simp.jpg
    simp.jpg
    133.6 KB · Views: 5
Popote pale unaweza kumpata au usimpate!!

Kuna wengine wamo na wengine sio,kwenye kila taasisi!

Mke au mume ni yule utakae zeeka nae au utakae fia mikononi mwake na sio yule uliemuoa coz ndoa haikupi guarantee ya kuzeeka na mtu
 
Sasa tunazungumzia mazingira salama ,huu ni utafiti.SAVING THE LAST SIMP
 
Sasa mboni umetuwekea picha za wanawake wenye Makebo makubwa ulitaka kutuambia nini hasa?sijakuelewa.

Maana wengine umeshatuvunjia ibada zetu tulizohudhuria leo tukijiuliza hiyo church iko wapi na sisi twende huku nyumbani wake tunao!
 
Yes,wengi wanajidanganya.

Kijana,ukifikia umri kwamba saa unataka kutulia uwe na familia,basi usifikiria kanisani kama sehemu sahihi ya kupata mke mwema na mwenye historia iliyo nyoka hususani kwa haya makanisa ya kilokole.

Wanawake wengi baada yakutumik sana,na kufanya kila aina ya ushenzi ,kuna umri wakifika wanaanza kufikiria kuwa na mume tena mtulivuhivyo wanachgua kukimbilia kanisani kama sehemu ya kustaafu yale madudu yao ili waonekane ni watu wazuri,ili hali walikuwa chawote.
Kuna ukweli kwa asilimia kubwa sana.At my 24,25 and 26 nimewakwepa wengi sana. Makanisa mengi yamekuwa chaka la kufichia rangi halisi za watu.
 
Yes,wengi wanajidanganya.

Kijana,ukifikia umri kwamba saa unataka kutulia uwe na familia,basi usifikiria kanisani kama sehemu sahihi ya kupata mke mwema na mwenye historia iliyo nyoka hususani kwa haya makanisa ya kilokole.

Wanawake wengi baada yakutumik sana,na kufanya kila aina ya ushenzi ,kuna umri wakifika wanaanza kufikiria kuwa na mume tena mtulivuhivyo wanachgua kukimbilia kanisani kama sehemu ya kustaafu yale madudu yao ili waonekane ni watu wazuri,ili hali walikuwa chawote.
Ni kweli kabisa Kuna mdada namfahamu kabisa amepanga gheto Kali ana kila kitu ndani ila hana kazi yoyote zaidi ya kujiuza ni wale wadada ambao wanajiuza kwenye mitandao na magroup ya Whatsapp yaani mfano wewe umekuja hapa Dom ni mgeni unahitaji kuichapa unapewa namba na madalali mnakubaliana bei anakuja unampa chake anakupa huduma mpaka unarizika anasepa zake kiroho safi.
Ila huyo dada kanisani anakaa viti vya mbele na anaimba na kulia kanisani kama mcha Mungu vile ukiwa mgeni utaingia mkenge unajua umepata mke mwema!
 
Na wakati wa maombi analia kabisa kwamba kajawa roho mtakatifu.
 
Yes,wengi wanajidanganya.

Kijana,ukifikia umri kwamba saa unataka kutulia uwe na familia,basi usifikiria kanisani kama sehemu sahihi ya kupata mke mwema na mwenye historia iliyo nyoka hususani kwa haya makanisa ya kilokole.

Wanawake wengi baada yakutumik sana,na kufanya kila aina ya ushenzi ,kuna umri wakifika wanaanza kufikiria kuwa na mume tena mtulivuhivyo wanachgua kukimbilia kanisani kama sehemu ya kustaafu yale madudu yao ili waonekane ni watu wazuri,ili hali walikuwa chawote.
wengi ni waliokubuhi walishaharibu mafile Yao ya afya, kisaklojia na kifedha wamekwenda kule wanaahiduwa kusuluisha yote hayom sasa beba uone kisa umemkuta mwa walokole. By the way walokole siku hizi bongo haupo tangu masanji wanamazinga umbwe wamekuja na mazingaumbwe kanisani. Walokole ni wale wa zamani waliokuwa wanalia
 
Yes,wengi wanajidanganya.

Kijana,ukifikia umri kwamba saa unataka kutulia uwe na familia,basi usifikiria kanisani kama sehemu sahihi ya kupata mke mwema na mwenye historia iliyo nyoka hususani kwa haya makanisa ya kilokole.

Wanawake wengi baada yakutumik sana,na kufanya kila aina ya ushenzi ,kuna umri wakifika wanaanza kufikiria kuwa na mume tena mtulivuhivyo wanachgua kukimbilia kanisani kama sehemu ya kustaafu yale madudu yao ili waonekane ni watu wazuri,ili hali walikuwa chawote.
Si wameamua kutulia? Kwani kuna shida
 
Back
Top Bottom