TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Sasa tunazungumzia mazingira salama ,huu ni utafiti.SAVING THE LAST SIMPPopote pale unaweza kumpata au usimpate!!
Kuna wengine wamo na wengine sio,kwenye kila taasisi!
Mke au mume ni yule utakae zeeka nae au utakae fia mikononi mwake na sio yule uliemuoa coz ndoa haikupi guarantee ya kuzeeka na mtu
Hakuna mazingira salama Wala hatari!!Sasa tunazungumzia mazingira salama ,huu ni utafiti.SAVING THE LAST SIMP
Kuna ukweli kwa asilimia kubwa sana.At my 24,25 and 26 nimewakwepa wengi sana. Makanisa mengi yamekuwa chaka la kufichia rangi halisi za watu.Yes,wengi wanajidanganya.
Kijana,ukifikia umri kwamba saa unataka kutulia uwe na familia,basi usifikiria kanisani kama sehemu sahihi ya kupata mke mwema na mwenye historia iliyo nyoka hususani kwa haya makanisa ya kilokole.
Wanawake wengi baada yakutumik sana,na kufanya kila aina ya ushenzi ,kuna umri wakifika wanaanza kufikiria kuwa na mume tena mtulivuhivyo wanachgua kukimbilia kanisani kama sehemu ya kustaafu yale madudu yao ili waonekane ni watu wazuri,ili hali walikuwa chawote.
Ni kweli kabisa Kuna mdada namfahamu kabisa amepanga gheto Kali ana kila kitu ndani ila hana kazi yoyote zaidi ya kujiuza ni wale wadada ambao wanajiuza kwenye mitandao na magroup ya Whatsapp yaani mfano wewe umekuja hapa Dom ni mgeni unahitaji kuichapa unapewa namba na madalali mnakubaliana bei anakuja unampa chake anakupa huduma mpaka unarizika anasepa zake kiroho safi.Yes,wengi wanajidanganya.
Kijana,ukifikia umri kwamba saa unataka kutulia uwe na familia,basi usifikiria kanisani kama sehemu sahihi ya kupata mke mwema na mwenye historia iliyo nyoka hususani kwa haya makanisa ya kilokole.
Wanawake wengi baada yakutumik sana,na kufanya kila aina ya ushenzi ,kuna umri wakifika wanaanza kufikiria kuwa na mume tena mtulivuhivyo wanachgua kukimbilia kanisani kama sehemu ya kustaafu yale madudu yao ili waonekane ni watu wazuri,ili hali walikuwa chawote.
Yes hii ni utafiti,sio stori.Kuna ukweli kwa asilimia kubwa sana.At my 24,25 and 26 nimewakwepa wengi sana. Makanisa mengi yamekuwa chaka la kufichia rangi halisi za watu.
Na wakati wa maombi analia kabisa kwamba kajawa roho mtakatifu.Ni kweli kabisa Kuna mdada namfahamu kabisa amepanga gheto Kali ana kila kitu ndani ila hana kazi yoyote zaidi ya kujiuza ni wale wadada ambao wanajiuza kwenye mitandao na magroup ya Whatsapp yaani mfano wewe umekuja hapa Dom ni mgeni unahitaji kuichapa unapewa namba na madalali mnakubaliana bei anakuja unampa chake anakupa huduma mpaka unarizika anasepa zake kiroho safi.
Ila huyo dada kanisani anakaa viti vya mbele na anaimba na kulia kanisani kama mcha Mungu vile ukiwa mgeni utaingia mkenge unajua umepata mke mwema!
Ili kipofu mmoja wa kiroho ajae kwenye 18 zake!Na wakati wa maombi analia kabisa kwamba kajawa roho mtakatifu.
ManinnerIli kipofu mmoja wa kiroho ajae kwenye 18 zake!
wengi ni waliokubuhi walishaharibu mafile Yao ya afya, kisaklojia na kifedha wamekwenda kule wanaahiduwa kusuluisha yote hayom sasa beba uone kisa umemkuta mwa walokole. By the way walokole siku hizi bongo haupo tangu masanji wanamazinga umbwe wamekuja na mazingaumbwe kanisani. Walokole ni wale wa zamani waliokuwa wanaliaYes,wengi wanajidanganya.
Kijana,ukifikia umri kwamba saa unataka kutulia uwe na familia,basi usifikiria kanisani kama sehemu sahihi ya kupata mke mwema na mwenye historia iliyo nyoka hususani kwa haya makanisa ya kilokole.
Wanawake wengi baada yakutumik sana,na kufanya kila aina ya ushenzi ,kuna umri wakifika wanaanza kufikiria kuwa na mume tena mtulivuhivyo wanachgua kukimbilia kanisani kama sehemu ya kustaafu yale madudu yao ili waonekane ni watu wazuri,ili hali walikuwa chawote.
Si wameamua kutulia? Kwani kuna shidaYes,wengi wanajidanganya.