pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,524
- 4,928
Mazingira hatari yapoHakuna mazingira salama Wala hatari!!
kanisani,msikitini,na popote pale lolote laweza kutokea!kupata au kukosa na kupata au kukosa utajua mwisho wa safari ya maisha yako,unapokua huwezi tena ndio utajua hujui!!
Hili kanisa liko wapi ili niende kutoa ushuhuda?Yes,wengi wanajidanganya.
Kijana,ukifikia umri kwamba saa unataka kutulia uwe na familia,basi usifikiria kanisani kama sehemu sahihi ya kupata mke mwema na mwenye historia iliyo nyoka hususani kwa haya makanisa ya kilokole.
Wanawake wengi baada yakutumik sana,na kufanya kila aina ya ushenzi ,kuna umri wakifika wanaanza kufikiria kuwa na mume tena mtulivuhivyo wanachgua kukimbilia kanisani kama sehemu ya kustaafu yale madudu yao ili waonekane ni watu wazuri,ili hali walikuwa chawote.
We nawe sasa kama unataka kuoa ya zamani yake unayataka ya nini kama keshayaacha kaamua kuishi katika njia impendezayo Mungu...alafu huwa wanaoa/kuolewa na mtu alieyopo kwa wakati huo sio tabia zake za zamanjYes,wengi wanajidanganya.
Kijana,ukifikia umri kwamba saa unataka kutulia uwe na familia,basi usifikiria kanisani kama sehemu sahihi ya kupata mke mwema na mwenye historia iliyo nyoka hususani kwa haya makanisa ya kilokole.
Wanawake wengi baada yakutumik sana,na kufanya kila aina ya ushenzi ,kuna umri wakifika wanaanza kufikiria kuwa na mume tena mtulivuhivyo wanachgua kukimbilia kanisani kama sehemu ya kustaafu yale madudu yao ili waonekane ni watu wazuri,ili hali walikuwa chawote.
Hata sikuizi wanalia mbona,na ndio hao machatu balaaaawengi ni waliokubuhi walishaharibu mafile Yao ya afya, kisaklojia na kifedha wamekwenda kule wanaahiduwa kusuluisha yote hayom sasa beba uone kisa umemkuta mwa walokole. By the way walokole siku hizi bongo haupo tangu masanji wanamazinga umbwe wamekuja na mazingaumbwe kanisani. Walokole ni wale wa zamani waliokuwa wanalia
Isn't a personal issue,tuliza wenge wewe,nawe ni mingoni mwao.We nawe sasa kama unataka kuoa ya zamani yake unayataka ya nini kama keshayaacha kaamua kuishi katika njia impendezayo Mungu...alafu huwa wanaoa/kuolewa na mtu alieyopo kwa wakati huo sio tabia zake za zamanj
Tafiti hupingwa kwa tafiti sio maneno maneno.Sasa picha ya AI inatafuta nini hapa? Usipende kukazia jambo uliaminio wewe kama wewe kwa kuweka nyongeza bandia kuvuta kwa lazima fikra za wengine.
Hongera kwa angalau kujitahidi katika uandishi wako, mwalimu wa kiswahili alikuwa na kazi nyepesi sana kukuelewesha.
Tafiti zako za kitoto na ndiyo maana unaona wanaume walio wanaume na waliobaki kwenye uanaume wanaoa kila siku bila kujali pasts za mtu....miongoni mwao kwenye nini sasa ulitaka kila mtu akubaliane na tafiti zako uchwaraIsn't a personal issue,tuliza wenge wewe,nawe ni mingoni mwao.
Mh!!!Kwamba makanisa ya kilokole ni kimbilio ya malaya waliositaafu
Kama mtu kaamua kuacha tabia mbaya na kutafuta mume aolewe kuna shida gani.??Yes,wengi wanajidanganya.