Makanisa Ya Kilokole Yamechangia Watu Wengi Kuwa na Ugonjwa Wa Afya Ya Akili

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Nataka nifungue Kanisa langu nipige mpunga.

Naona future ipo huko. Siku hizi watu wamekata tamaa sana wanahitaji maneno ya faraja tu kidogo alafu wanakupa sadaka.

Hebu mwangalie

Pastor Mgogo,
Yule mzee Majumbasita,
Mashimo,
Geo David Wa Arusha
Kuna mmoja hivi ni comedian,
Masanja Mkandamizaji,
Luvanda, etc

Hawa nao ni Pastors, sisi tutashindwa Wazee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
.

Haaaahaaa....watu wanatafuta miujiza ya kupata hela nyingi fasta fasta
 
Hawa wamekuwa Zaidi ya Kalyanda.
.
Tena bora hata Kalyanda wenyewe hawatumii neno la Mungu kuibia waumini.
.
Pastor anatumia maneno km ulofa, upumbavu, ujinga throughout alafu uniambie kuna upako gani....Tuacheni kurahisisha neno la Mungu hivi
.
Yule mzee wa Majumbasita ndio komesha mpaka matusi anatumia kuwatukana waumini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nataka nifungue Kanisa langu nipige mpunga.
.
Naona future ipo huko. Siku hizi watu wamekata tamaa sana wanahitaji maneno ya faraja tu kidogo alafu wanakupa sadaka.
.
Hebu mwangalie
.
Pastor Mgogo,
Yule mzee Majumbasita,
Mashimo,
Geo David Wa Arusha
Kuna mmoja hivi ni comedian,
Masanja Mkandamizaji,
Luvanda, etc

Hawa nao ni Pastors, sisi tutashindwa Wazee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Maisha magumu,ndoto zisizotimia ndio huleta ugonjwa wa akili, SA SA watu wakiwa na hii hari,hukimbilia kwa Hawa mapastor wa michongo Ili kupata ahueni,too bad huishia kupigwa na kitu kizito kichwani!
Hawa mapastor ni wajasiriamali tu na injili ndio bidhaa yao.zamani tulikuwa tunaenda Kanisa la roman,au Lutheran,lakini na huko kumejaa michango kibao,unathaminiwa kwa urefu wa mfuko wako,ni stress tupu,mwishowe unaangukia kwa Mwamposa!!lazima upigwe jombaa
 
Pastor Mashimo yupo kwenye maombi maalumu ya kumfufua Katibu arudi atubu kwa Mkandamizaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Heri niendelee kuwa mlozi halisi kuliko kuwa mchungaji nabii bandia
Hakika Mungu hadhihakiwi katu "Never mock your God for it is unforgivable sin". Inakuingia akilini kweli kuna yatima lakini haohao wanahubiri neno la Mungu huko hawataki hata kupasikia na kupafikia kwa vitendo. Unagawa magari na pesa kwa kusifiwa majukwani[emoji2379][emoji2379]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nataka nifungue Kanisa langu nipige mpunga.
.
Naona future ipo huko. Siku hizi watu wamekata tamaa sana wanahitaji maneno ya faraja tu kidogo alafu wanakupa sadaka.
.
Hebu mwangalie
.
Pastor Mgogo,
Yule mzee Majumbasita,
Mashimo,
Geo David Wa Arusha
Kuna mmoja hivi ni comedian,
Masanja Mkandamizaji,
Luvanda, etc

Hawa nao ni Pastors, sisi tutashindwa Wazee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
unaitaj akilina watu ili kutengenez pesa
 
Moses Magembe mtoe kwenye hio list. Labda kama unamzungumzia mtu mwingine
 
Ukigeuka huku ccm wanakuambia vijana wazembe mana hawana ajira, ukigeukia kanisani siku hizi sadaka inapagwa ktk mafungu "church partners", huku km una milion 30 ni pesa ya kununua viatu, km unapambana na pesa ya kula tu wewe ni lofa na mpumbavu - ebo si bora uvute bangi tu uwatandike makofi hawahawa wanafake dini [emoji2379][emoji2379][emoji2379]
Juzi hapa mtu kavuta mkwanja wa sadaka milion 29. Ile mm naona safi sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Mjuba Juzi katembea na 29m za Chachi [emoji1787][emoji1787]
.
Huyu aliyezikwapua hivi ana afadhali kuliko hawa ninaowaona siku hizi.
.
Kuna mmoja alichukuliwa video akiwa amelewa chakari, mwingine akadukuliwa akitafuna kondoo wake na kadha wa kadha.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wapi ambako watu hawapigwi? Kule ambako ndiko kunakoonekana kuna umakini na umakini wa kisomi ndiko kuliko na michango mikubwa ya kujenga mabenki, vyuo vikuu, mahospitali, shule mpaka na shughuli zingine za uzalishaji. Cha ajabu muumini akihitaji huduma huko atalipia, mtoto wake hatasoma bure wala kutibiwa bure wakati mzazi alitoa michango ya ujenzi wa miradi hiyo. Tena ni lazima uwe mwanajumuiya mtaani ili ukamuliwe vizuri bila kukwepa. Kwenda kwa mitume na manabii wa maji na mafuta ya upako ni kwa hiari tu si lazima kwenda
 
Back
Top Bottom