Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Haaaahaaa....watu wanatafuta miujiza ya kupata hela nyingi fasta fastaNataka nifungue Kanisa langu nipige mpunga.
.
Naona future ipo huko. Siku hizi watu wamekata tamaa sana wanahitaji maneno ya faraja tu kidogo alafu wanakupa sadaka.
.
Hebu mwangalie
.
Pastor Mgogo,
Yule mzee Majumbasita,
Mashimo,
Geo David Wa Arusha
Kuna mmoja hivi ni comedian,
Masanja Mkandamizaji,
Luvanda, etc
Hawa nao ni Pastors, sisi tutashindwa Wazee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Maisha magumu,ndoto zisizotimia ndio huleta ugonjwa wa akili, SA SA watu wakiwa na hii hari,hukimbilia kwa Hawa mapastor wa michongo Ili kupata ahueni,too bad huishia kupigwa na kitu kizito kichwani!Nataka nifungue Kanisa langu nipige mpunga.
.
Naona future ipo huko. Siku hizi watu wamekata tamaa sana wanahitaji maneno ya faraja tu kidogo alafu wanakupa sadaka.
.
Hebu mwangalie
.
Pastor Mgogo,
Yule mzee Majumbasita,
Mashimo,
Geo David Wa Arusha
Kuna mmoja hivi ni comedian,
Masanja Mkandamizaji,
Luvanda, etc
Hawa nao ni Pastors, sisi tutashindwa Wazee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Pastor Mashimo yupo kwenye maombi maalumu ya kumfufua Katibu arudi atubu kwa Mkandamizaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maisha magumu,ndoto zisizotimia ndio huleta ugonjwa wa akili, SA SA watu wakiwa na hii hari,hukimbilia kwa Hawa mapastor wa michongo Ili kupata ahueni,too bad huishia kupigwa na kitu kizito kichwani!
Hawa mapastor ni wajasiriamali tu na injili ndio bidhaa yao.zamani tulikuwa tunaenda Kanisa la roman,au Lutheran,lakini na huko kumejaa michango kibao,unathaminiwa kwa urefu wa mfuko wako,ni stress tupu,mwishowe unaangukia kwa Mwamposa!!lazima upigwe jombaa
Hakika Mungu hadhihakiwi katu "Never mock your God for it is unforgivable sin". Inakuingia akilini kweli kuna yatima lakini haohao wanahubiri neno la Mungu huko hawataki hata kupasikia na kupafikia kwa vitendo. Unagawa magari na pesa kwa kusifiwa majukwani[emoji2379][emoji2379]Heri niendelee kuwa mlozi halisi kuliko kuwa mchungaji nabii bandia
Ni kweli Kabisa Vuguvugu haitakiwiHeri niendelee kuwa mlozi halisi kuliko kuwa mchungaji nabii bandia
unaitaj akilina watu ili kutengenez pesaNataka nifungue Kanisa langu nipige mpunga.
.
Naona future ipo huko. Siku hizi watu wamekata tamaa sana wanahitaji maneno ya faraja tu kidogo alafu wanakupa sadaka.
.
Hebu mwangalie
.
Pastor Mgogo,
Yule mzee Majumbasita,
Mashimo,
Geo David Wa Arusha
Kuna mmoja hivi ni comedian,
Masanja Mkandamizaji,
Luvanda, etc
Hawa nao ni Pastors, sisi tutashindwa Wazee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyu anapigaga ngoma za harmonizeGeo David Wa Arusha
Moses Magembe mtoe kwenye hio list. Labda kama unamzungumzia mtu mwingineNataka nifungue Kanisa langu nipige mpunga.
.
Naona future ipo huko. Siku hizi watu wamekata tamaa sana wanahitaji maneno ya faraja tu kidogo alafu wanakupa sadaka.
.
Hebu mwangalie
.
Pastor Mgogo,
Yule mzee Majumbasita,
Mashimo,
Geo David Wa Arusha
Kuna mmoja hivi ni comedian,
Masanja Mkandamizaji,
Luvanda, etc
Hawa nao ni Pastors, sisi tutashindwa Wazee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Usitupe mtoto na maji machafu ndugu.Heri niendelee kuwa mlozi halisi kuliko kuwa mchungaji nabii bandia