Makanisa Ya Kilokole Yamechangia Watu Wengi Kuwa na Ugonjwa Wa Afya Ya Akili

Wahanga ni Wanawake wanahisi hao ma Pastor ni Mungu wengine wanapika wanawapelekea msosi.
Wanafanya hivi kwa sababu wanaume zao hawamjui Mungu.

Adamu ndie alipewa neno halisi na Mungu akaambiwa amfundishe Eva. Mwanaume ndie kichwa ila wengi wanatumia kichwa kidogo kuliko kikubwa.

Biblia inasema haya juu ya Ibrahim. Alibarikiwa na Mungu kwa sababu hii:

Mwanzo 18:17 Bwana akanena, Je! Nimfiche Ibrahimu jambo nilifanyalo,
18 akiwa Ibrahimu atakuwa taifa kuu, hodari, na katika yeye mataifa yote ya dunia watabarikiwa?
19 Kwa maana nimemjua ya kwamba atawaamuru wanawe, na nyumba yake baada yake waishike njia ya Bwana, wafanye haki na hukumu, ili kwamba Bwana naye akamtimizie Ibrahimu ahadi zake.

Wababa wangapi hapa JF wanakaa chini kujifunza Neno la Mungu na kumfundisha mke wake na watoto wake??? Kama hufanyi hivyo lazima mke akimbilie huko makanisani maana sketi za mtaa zitakupepeta kama ngano

Wanawake wengi wanaenda huko maana wanaume wao wana vimada wanawatesa kuwatukana na kuwanyanyasa na kutelekeza familia baada ya kuwarubuni na kuwatumia!!!


Hii ni failure ya wanaume. Wanaume wakimjua Mungu watatiisha familia yao katika kumcha Mungu na hii kimbia kimbia ya wanawake makanisani itaisha.
 
Reactions: Cyb
Kushamiri kwa kanisa za walokole ni ishara ya kudhihilisha ugumu wa maisha,

Watu enzi hizi hawana imani tena na scientific methods ya kutatua chagamoto zao wana saka miujiza, kutajilika na kupona magonjwa sugu.

Kua mulokoleve ni level fulani ya madness japo degree za madness yao zina vary kulingana na hali yake ya kili elimu na utajili wake wakati anajiuga na ulokole.

Hamna mtu mwenye akili timamu bila kua na stress za maisha au social isolation anaweza kujuiga na ulokole, hao watu tusiwatenge hao watu there psychological and mentally upstair, wanahitaji huruma zetu dua na misaada mingine kama binaadamu.
 
wagonjwa wa afya ya akili, mtu huwezi kuwa na akili timamu ukamfuata Mkandamizaji. Watu akili zao ni vichaa
 
Ona kama huu uchafu hapa
 
Hivi luvanda nae mchungaji? Nilikutana sherehe fulani anatandika Heineken kama Hana akili
 
we ndio unashtuka leo , jamaa yangu yupo uk ,anarudi Kuna eneo lipo sehemu anataka aanzishe mradi wa kanisa
 
Mh, halafu mchungaji kanyoa kiduku na sijui anawafundisha somo gani hapo?
Ukiwambia kweli wanakimbilia kuwatukana Waislamu, Sasa hapa ukute aliyeleta hii mada ni mkristo mwenzao
 
Unamkuta mtu ameshinda kwenye jua akisikiliza mambo ya uponyaji!! Mtu UTI kali inakusumbua unasubiri uponyaji!! Huo sio ukichaa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…