Makao Makuu ya CHADEMA, Mikocheni Dar es salaam

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Hongera Chadema kwa kufikia hatua hiyo wengine walijengewa na serikali.

20241014_132515.jpg

Hii ya Mikocheni mi Nyumba ya Mbowe ambayo kaipangisha chadema, ile ya ufipa wapo Baraza la Wazee, ni ya Edwin Mtei. Ruzuku hutumika kulipia kodi ya nyumba hizi
 
Ccm weye utakuwa umezaliwa 2002 mfumo wa vyingi tayari ushashika kasi. Ccm ya zamani hawana hoja kama hizi
 
Hii ya Mikocheni mi Nyumba ya Mbowe ambayo kaipangisha chadema, ile ya ufipa wapo Baraza la Wazee, ni ya Edwin Mtei. Ruzuku hutumika kulipia kodi ya nyumba hizi
Kama ni ya Mbowe, basi amefanya jambo la maana sana. Kongole kwake. :Drake:
 
Hii ya Mikocheni mi Nyumba ya Mbowe ambayo kaipangisha chadema, ile ya ufipa wapo Baraza la Wazee, ni ya Edwin Mtei. Ruzuku hutumika kulipia kodi ya nyumba hizi
Nyie mmedhulumu yale majengo ya Lumumba yalikuwa ya wazee wa Kariakoo wakati mkijifuta vijambio kwa majani huko Sitimbi. Warudishieni wazee wa watu majengo yao. Au nimwambie Mzee Mohamed Said alianzishe?
 
Back
Top Bottom