Kabisa na hizi ofisi tunazoida sijui za CHADEMA zitarudi serikalini maana ruzuku ni pesa za walipa kodi sio kwamba zinatoka kwenye miradi ya CHADEMAExactly, na kuna siku majengo yote yaliyojegwa na serikli wakati a chama kimoja yatarudi serikalini! It is a matter of time
Hata kile chama walichoruhusiwa kula kwa urefu wa kamba hakina tofauti na cha familia, maana wanaokula kwa urefu wa kamba zao ni wale wale 🤣 🤣 🤣Ni kweli, maana chama chenyewe cha familia
Kuna utata wa umiliki wa hilo jengo inasemekana wamepanga, mwenye pango kasema hataki marangi ya chadema kwenye ukuta wa nyumba yake
Ruzuku ipo kisheriaKabisa na hizi ofisi tunazoida sijui za CHADEMA zitarudi serikalini maana ruzuku ni pesa za walipa kodi sio kwamba zinatoka kwenye miradi ya CHADEMA
SawaKuna utata wa umiliki wa hilo jengo inasemekana wamepanga, mwenye pango kasema hataki marangi ya chadema kwenye ukuta wa nyumba yake
Kelele zimepungua sasa
Kwani wakati CCM wanajenga hizo ofisi sheria ilikua inasemaje?Ruzuku ipo kisheria