Makao makuu ya Chadema Yako Mikocheni DSM lakini Mwenyekiti Mpya Mh Tundu Lisu anaenda kupokelewa Ikungi Singida, huu siyo Ukabila kweli?

Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania

Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais

Hapa hakunaga ukabila KWELI?

Navalonge swela 😂
Acha ujinga na dikteta wako wa Chato.
 
Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania

Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais

Hapa hakunaga ukabila KWELI?

Navalonge swela 😂
The sun at home(Ikungi, Tanganyika) warms better than the sun elsewhere.
The sun at home (Ikungi, Tanganyika) charges better than the sun elsewhere.

Ikungi ndipo mahali kwa mama mzaa chema. Acha aende akapate baraka za wazazi na wazee wa Ikungi.
 
Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania

Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais

Hapa hakunaga ukabila KWELI?

Navalonge swela 😂
Hilo ni chawi linalo abudu mizimu na makaburi!
 
Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania

Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais

Hapa hakunaga ukabila KWELI?

Navalonge swela 😂
Hizi pombe za hovyo zimeharibu kabisa ubongo wako,yaani mtu akienda kwao ni kosa kupokelewa na watu wa nyumbani kwao? Una upumbavu mwingi sana.
 
Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania

Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais

Hapa hakunaga ukabila KWELI?

Navalonge swela 😂
Ingefaa ufanye utaratibu wa kurudi darasani kama ulisoma pengine hujaelimika kabisa na uwezo wako wa kutambua mambo uko chini kabisa. Kwasababu mtu huyo alitoka kwako akiwa Makamu anarudi akiwa m.kiti huoni tofauti Bado pamoja na kupokelewa makao makuu?
 
Kizimkazi Huwa anaenda kukaa kizimkazi hata miezi miwili na huo tutauita ukabila?
 
Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania

Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais

Hapa hakunaga ukabila KWELI?

Navalonge swela 😂
Mnyalu
Eti navalonge
 
Wewe tu fikra zako potofu....acha aende kwao kwanza.....mikocheni alishaenda
 
Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania

Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais

Hapa hakunaga ukabila KWELI?

Navalonge swela 😂
Kuwa makini na Mzee Mgaya , kazeeka ,anakupeleka chaka
 
Ingefaa ufanye utaratibu wa kurudi darasani kama ulisoma pengine hujaelimika kabisa na uwezo wako wa kutambua mambo uko chini kabisa. Kwasababu mtu huyo alitoka kwako akiwa Makamu anarudi akiwa m.kiti huoni tofauti Bado pamoja na kupokelewa makao makuu?
Huyo mjinga anakunywa visungura na double kick hizo pombe zinaleta changamoto ya kufuta kumbukumbu huyo akishakolea anasahau njia ya kurudi kwake analala mitaroni.
 
Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania

Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais

Hapa hakunaga ukabila KWELI?

Navalonge swela 😂
Pia angeenda kupokelewa Hai ungesema ameenda kumchokoza Mwenyekiti mstaafu.Hivyo ile maana ya kuwani ngumu mkridhisha kila mtu ni halisi kabisa.
 
Shujaa alipohamishia ikulu kule chattle haikua ukabila?
Mwigulu aliapishwa kule nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, wageni toka nje walifikia chattle au ulikuwa hujazaliwa?
 
Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania

Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais

Hapa hakunaga ukabila KWELI?

Navalonge swela 😂
Hakuna Ajabu

Mikocheni Ameshapokelewa
 
Shujaa alipohamishia ikulu kule chattle haikua ukabila?
Mwigulu aliapishwa kule nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, wageni toka nje walifikia chattle au ulikuwa hujazaliwa?
Ile miezi miwili aliyoenda kujificha chato hotel zake zilipiga hela sana kwani wageni walikuwa hawakauki hata Rais wa Ethiopia yule mwana mama alifikia Chato.
 
Hivi ndio tumefikia kiwango hiki cha kufikiri, sasa hapo ukabila unahusika vipi ?? Kwahy Wasira alivyoenda Bunda juzi ulikuwa ukabila ??
 
Achana na huyu chapombe asubuhi akiamka wala hakumbuki amepost nini leo.
 
Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania

Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za Shujaa Mpenda Kwao hajawahi kupokelewa kihivyo Hata aliposhinda uRais

Hapa hakunaga ukabila KWELI?

Navalonge swela 😂
Jirani yangu mnyaturu amechinja mbuzi na kusheherekea akisema nchi inakwenda kuongozwa na WANYATURU.....

Duuh nilishangazwa sana na maneno yake kwani yeye ni msomi mkubwa na pia ni mtumishi wa umma.....

#Nchi Kwanza!
 
Back
Top Bottom