Makao Makuu ya chama cha Republican, Orange County yalichomwa moto. Je, Tanzania tuliwaingilia?

Utakuwa chizi wewe, unapopoma tu. Wabongo bana, you don't pay attention to the details, halafu baadae unakuja kuleta uenda wazimu, mbulula kweli wewe
Magonjwa ya akili ni tofauti na magonjwa mengine yote. Wagonjwa wa akili hutambulika kwa wanaowazunguka kwa maneno na matendo yao.

Lakini wenyewe hujiona wana akili timamu. Waulize wanaokuzunguka kama wanakuona upo sawasawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo makao makuu ya republican yalichomwa na nani??? Tuanzie hapo. Alafu Chama tawala marekani ni Chama gani???
 
Kama nguvu ya soda kwa nini mlimpiga risasi??? Kwa nini mnapiga fitna media zisitangaze habari zake
 
Njia pekee mkuu nikuendelea kumuomba Mungu, mataifa haya nayajua ndugu, jinsi wanavyotumika kuzibomoa nchi za Africa. Sasa angalia saizi Marekani anavyojidhatiti kuisuppress china baada ya kuona wanataka kuwa overtaken kiuchumi, anatengenezewa zengwe hatari.
 
Alafu alibwaga serekali mahakamani kwa kushindwa kuthibitisha kujiteka kwake.
Tatizo vijana waufipa wavivu kusoma vitu, sasa hapa umesema nini, dogo aliachwa maana utoto ulikuwa unamsumbua
 
Hoja za kipuuzi kama hizi za wachumia matumbo
 
Unajua Ugadafi, au unasema tu? Unaijua Libya au unaongea tu
 
Umenena unajua watu wanahisi n rahisi sana kujenga nchi ikuchukila tunahitaji nchi ifike sehem ambayo wote tunapenda vijana wa leo mnamuona maguful kama mbaya ile ze day akiondoka huyu jamaa sure nawaambia tutamkumbuka kuliko rais yeyote yule
 
Genge la kigaidi tulieni dawa yenu inachemka,mna siasa za kipumbavu sana.
Uliona kwenye makinikia? Uliona kwenye Korona? Magufuli nikibo cha wanafiki na Vibaraka, tutazidi kumuombea Kwa Mungu daima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…