Kuna kitu gani chaamaana ulicho andika ilinijenge hoja mm nakupuuza kama Dk abasi na pole pole wanavopuuzwaJenga hoja, acha kujitoa ufahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu gani chaamaana ulicho andika ilinijenge hoja mm nakupuuza kama Dk abasi na pole pole wanavopuuzwaJenga hoja, acha kujitoa ufahamu
Magonjwa ya akili ni tofauti na magonjwa mengine yote. Wagonjwa wa akili hutambulika kwa wanaowazunguka kwa maneno na matendo yao.Utakuwa chizi wewe, unapopoma tu. Wabongo bana, you don't pay attention to the details, halafu baadae unakuja kuleta uenda wazimu, mbulula kweli wewe
Ndugu watanzania wenzangu,
Natumaini mko salama.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Mimi ni mojawapo ya watu ambao hufuatilia sana siasa ya Marekani. Kwa hiyo ni ngumu sana kunidanya chochote kile kuhusu kinachoendelea huko Marekani. Katika generation hii ya dot com, ni vingumu sana kuwadanganya watu, maana tunatembea na dunia kiganjani. Mnamo tarehe 18 Oct. 2016 Makao makuu ya office ya chama cha Republican count ya Orange yalichomwa moto na watu wasiojulikana () (Local GOP office in North Carolina firebombed), lakini Tanzania hatukuingilia.
Sambamba na hilo, kinachoendelea saizi Marekani hakuna utofauti na nchi wanazoziita Authoritarian countries, yaani nchi zinazoendeshwa kidikteta. Level ya freedom of expression imeporomoka sana (). Kwa kusema hivyo, balozi wa Marekani HANA MORAL AUTHORITY YA KUINGILIA UCHAGUZI WETU. Tanzania ni nchi huru na watuachie kama tulivyopambana kwenye korona. Kama bibilia inavyosema "Ewe mnafiki, ondoa boriti ndani ya jicho lako kwanza, ndipo utaweza kuona dhahiri jinsi ya kuondoa kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako" (Mathayo, 7:5).
Kuna uzi niliuleta kwenye jukwaa hili, click this link: Uchaguzi 2020 - Kuna uwezekano wa nchi hizi zikatumika katika kudukua Mfumo wa Uchaguzi. Intel za Serikali kuweni macho, nilidokeza kidogo kuhusu ujio wa balozi huyu katika kipindi hiki cha uchaguzi. Kwa kusema hivyo, yanaanza kutimia taratibu ndungu zangu. Unajua kuna watu wengine Mungu katujalia kuona mambo kwa upana sana, kwa hiyo ninachokiona kwa sasa, ndicho kile ambacho my instinct ilikuwa inanishuhudia.
Nani ajuaye kama kuchomwa kwa office ya kanda ya kasikazini kama ni mpango tu? Kama watu wanaweza kujiteka na kusingizia serikali (), kwenye kuchoma inashindikana kweli? Katika harakati za kumpindua Fidel Castro, Marekani waliilipua meli yao kule Guantanamo bay, ila wakamsingizia Castrol. Ndugu zangu, jamaa hawa hawa, walisema Libya inaendeshwa kidikteta, wakatengeneza mambo kwa kuwaandaa vibaraka wao, na hatimaye wakafanikiwa kumuondoa Gadafi, lakini saizi kinachotekea kule ni majanga, Libya is currently a failed state (Libya as a Failed State:). Ni wakati sasa wa kumuuliza balozi wa Marekan, yaliyotokea Libya unayajua? Je, hiyo ndiyo democracy mliyokuwa mnaitaka?.
Ukiusoma uzi wangu hapo, utaona kuna mahali nimemuongelea Mh. Tundu Lissu, ni kama ameandaliwa vile, maana hata kauli zake tangu aje, zina ukakasi sana: 1) Safari hii hakuna kumuachia Mungu; 2) Nikishindwa watu nitawaamuru waingie barabarani i.e. Hizi ni dalili mbaya sana kwa mustakabali wa amani ya nchi yetu.
Kwa vile Mh. Tundu Lissu ni kama ameandaliwa vile, sambamba na matamko haya ya balozi wa Marekani, ninavyoona tutegemee mambo yafuatayo:
Making story short, Marekani hatuwezi kushindana nalo kuichumi wala kivita, njia pekee ambayo tunaweza kuwashinda hawa jamaa na ajenda zao za giza ni KUMUOMBA MUNGU TU. KAMA MUNGU ALITUVUSHA KWENYE JANGA HILI LA KORONA, NAAMINI ATATUVUSHA NA MIKAKATI MIMBAYA AMBAYO MAREKANi NA VIBARAKA WAO WAMESHAPANGA. Nilileta uzi humu, nikisisitiza suala la kumuomba Mungu, wakati nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu: (Katika kipindi ambacho taifa linahitaji maombi mengine tena ni sasa, asomaye na achukue hatua).
- Hata kama Mh. Magufuli atashinda uchaguzi huu, Mh. Tundu Lissu hatakubali.
- Ubalozi wa Marekani hawatakubali pia, na kwa dalili hizi, yawezekana kuna deal done tayari.
Hii ndiyo njia pekee watanzania wenzangu tuitumieni kupambana na hizi ajenda za siri. Niwakumbushe jambo moja tu, tangu Tanzania ianze kufanya chaguzi kama hizi, ni kwa mara ya kwanza Tanzania haijaomba msaada wowote kutoka kwenye mataifa ya nje, zaidi ya bilioni miatatu na kitu zimetolewa na serikali, yaani serikali imegharamia uchaguzi wote kwa 100%. Mh. Raisi ni lulu ya taifa letu, kuwa na kiongozi kama huyu, mwenye maono makubwa na nia ya dhati kabisa ya kujenga uchumi katika taifa, ni adimu sana kuwapata, WE SHOULD, THEREFORE, PROTECT HIM BY ALL MEANS AGAINST INTERNAL AND EXTERNAL ENEMIES, AND PRAYERS WORTH PAYING ATTENTION.
Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu
Kama nguvu ya soda kwa nini mlimpiga risasi??? Kwa nini mnapiga fitna media zisitangaze habari zakeMkuu U.S mpaka sasa walishashindwa, wanajitekenya, huyo Lisu ni nguvu ya soda a.k.a moto wa mabua tu, very soon utazimika na watu tutasahau na hao hao U.S ndiyo wahusika. Uzuri Tz ilishajiandaa kitambo sana, marais hubadilika ila waongoza nchi na wenye nchi hawabadiliki.
Kwenye kesi mliyomfungulia ya kujiteka serikali mlishinda???!Abdul Nondo alijiteka.
Unayakataa maarifa, unataka unyumbu tu, hayaNdeeefu lakini ushuzi mtupu
This was a result of historical economic suppression for African countries, ndugu hujasoma hata history mkuu?Boss wako jana kaomba wasamehe mikopo nchi zetu maskini.
Ni mambo ya kushangaza kwa mtanzania mwenye mawazo finyu kama, sijui kama ushawahi hata kusafiri kwenda kwenye nchi za hao unao wateteaMtakapokua dona kantri mtaweza kuingilia.
Alafu alibwaga serekali mahakamani kwa kushindwa kuthibitisha kujiteka kwake.Abdul Nondo alijiteka.
Njia pekee mkuu nikuendelea kumuomba Mungu, mataifa haya nayajua ndugu, jinsi wanavyotumika kuzibomoa nchi za Africa. Sasa angalia saizi Marekani anavyojidhatiti kuisuppress china baada ya kuona wanataka kuwa overtaken kiuchumi, anatengenezewa zengwe hatari.Mkuu U.S mpaka sasa walishashindwa, wanajitekenya, huyo Lisu ni nguvu ya soda a.k.a moto wa mabua tu, very soon utazimika na watu tutasahau na hao hao U.S ndiyo wahusika. Uzuri Tz ilishajiandaa kitambo sana, marais hubadilika ila waongoza nchi na wenye nchi hawabadiliki.
Umesoma uzi wewe?Jenga hoja basiWakuache uendelee kuchoma moto ofisi za chadema? Ebo!
Tatizo vijana waufipa wavivu kusoma vitu, sasa hapa umesema nini, dogo aliachwa maana utoto ulikuwa unamsumbuaAlafu alibwaga serekali mahakamani kwa kushindwa kuthibitisha kujiteka kwake.
Ndugu watanzania wenzangu,
Natumaini mko salama.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Mimi ni mojawapo ya watu ambao hufuatilia sana siasa ya Marekani. Kwa hiyo ni ngumu sana kunidanya chochote kile kuhusu kinachoendelea huko Marekani. Katika generation hii ya dot com, ni vingumu sana kuwadanganya watu, maana tunatembea na dunia kiganjani. Mnamo tarehe 18 Oct. 2016 Makao makuu ya office ya chama cha Republican count ya Orange yalichomwa moto na watu wasiojulikana () (Local GOP office in North Carolina firebombed), lakini Tanzania hatukuingilia.
Sambamba na hilo, kinachoendelea saizi Marekani hakuna utofauti na nchi wanazoziita Authoritarian countries, yaani nchi zinazoendeshwa kidikteta. Level ya freedom of expression imeporomoka sana (). Kwa kusema hivyo, balozi wa Marekani HANA MORAL AUTHORITY YA KUINGILIA UCHAGUZI WETU. Tanzania ni nchi huru na watuachie kama tulivyopambana kwenye korona. Kama bibilia inavyosema "Ewe mnafiki, ondoa boriti ndani ya jicho lako kwanza, ndipo utaweza kuona dhahiri jinsi ya kuondoa kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako" (Mathayo, 7:5).
Kuna uzi niliuleta kwenye jukwaa hili, click this link: Uchaguzi 2020 - Kuna uwezekano wa nchi hizi zikatumika katika kudukua Mfumo wa Uchaguzi. Intel za Serikali kuweni macho, nilidokeza kidogo kuhusu ujio wa balozi huyu katika kipindi hiki cha uchaguzi. Kwa kusema hivyo, yanaanza kutimia taratibu ndungu zangu. Unajua kuna watu wengine Mungu katujalia kuona mambo kwa upana sana, kwa hiyo ninachokiona kwa sasa, ndicho kile ambacho my instinct ilikuwa inanishuhudia.
Nani ajuaye kama kuchomwa kwa office ya kanda ya kasikazini kama ni mpango tu? Kama watu wanaweza kujiteka na kusingizia serikali (), kwenye kuchoma inashindikana kweli? Katika harakati za kumpindua Fidel Castro, Marekani waliilipua meli yao kule Guantanamo bay, ila wakamsingizia Castrol. Ndugu zangu, jamaa hawa hawa, walisema Libya inaendeshwa kidikteta, wakatengeneza mambo kwa kuwaandaa vibaraka wao, na hatimaye wakafanikiwa kumuondoa Gadafi, lakini saizi kinachotekea kule ni majanga, Libya is currently a failed state (Libya as a Failed State:). Ni wakati sasa wa kumuuliza balozi wa Marekan, yaliyotokea Libya unayajua? Je, hiyo ndiyo democracy mliyokuwa mnaitaka?.
Ukiusoma uzi wangu hapo, utaona kuna mahali nimemuongelea Mh. Tundu Lissu, ni kama ameandaliwa vile, maana hata kauli zake tangu aje, zina ukakasi sana: 1) Safari hii hakuna kumuachia Mungu; 2) Nikishindwa watu nitawaamuru waingie barabarani i.e. Hizi ni dalili mbaya sana kwa mustakabali wa amani ya nchi yetu.
Kwa vile Mh. Tundu Lissu ni kama ameandaliwa vile, sambamba na matamko haya ya balozi wa Marekani, ninavyoona tutegemee mambo yafuatayo:
Making story short, Marekani hatuwezi kushindana nalo kuichumi wala kivita, njia pekee ambayo tunaweza kuwashinda hawa jamaa na ajenda zao za giza ni KUMUOMBA MUNGU TU. KAMA MUNGU ALITUVUSHA KWENYE JANGA HILI LA KORONA, NAAMINI ATATUVUSHA NA MIKAKATI MIMBAYA AMBAYO MAREKANi NA VIBARAKA WAO WAMESHAPANGA. Nilileta uzi humu, nikisisitiza suala la kumuomba Mungu, wakati nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu: (Katika kipindi ambacho taifa linahitaji maombi mengine tena ni sasa, asomaye na achukue hatua).
- Hata kama Mh. Magufuli atashinda uchaguzi huu, Mh. Tundu Lissu hatakubali.
- Ubalozi wa Marekani hawatakubali pia, na kwa dalili hizi, yawezekana kuna deal done tayari.
Hii ndiyo njia pekee watanzania wenzangu tuitumieni kupambana na hizi ajenda za siri. Niwakumbushe jambo moja tu, tangu Tanzania ianze kufanya chaguzi kama hizi, ni kwa mara ya kwanza Tanzania haijaomba msaada wowote kutoka kwenye mataifa ya nje, zaidi ya bilioni miatatu na kitu zimetolewa na serikali, yaani serikali imegharamia uchaguzi wote kwa 100%. Mh. Raisi ni lulu ya taifa letu, kuwa na kiongozi kama huyu, mwenye maono makubwa na nia ya dhati kabisa ya kujenga uchumi katika taifa, ni adimu sana kuwapata, WE SHOULD, THEREFORE, PROTECT HIM BY ALL MEANS AGAINST INTERNAL AND EXTERNAL ENEMIES, AND PRAYERS WORTH PAYING ATTENTION.
Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu
Unajua Ugadafi, au unasema tu? Unaijua Libya au unaongea tuUnajua wazi kwamba hoja zako ni za kibaguzi, alafu unamweka Mungu na kucote Bible out of context! Swala la kuingiliwa bado, lakini popote penye u-Ghaddafi, matokeo unayajua! Wala msiangaike kumwomba Mungu ambaye hamumuamini, achane u-Ghadafi wa jana ili msiwe Libya ya sasa kesho!
Umenena unajua watu wanahisi n rahisi sana kujenga nchi ikuchukila tunahitaji nchi ifike sehem ambayo wote tunapenda vijana wa leo mnamuona maguful kama mbaya ile ze day akiondoka huyu jamaa sure nawaambia tutamkumbuka kuliko rais yeyote yuleNdugu watanzania wenzangu,
Natumaini mko salama.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Mimi ni mojawapo ya watu ambao hufuatilia sana siasa ya Marekani. Kwa hiyo ni ngumu sana kunidanya chochote kile kuhusu kinachoendelea huko Marekani. Katika generation hii ya dot com, ni vingumu sana kuwadanganya watu, maana tunatembea na dunia kiganjani. Mnamo tarehe 18 Oct. 2016 Makao makuu ya office ya chama cha Republican count ya Orange yalichomwa moto na watu wasiojulikana () (Local GOP office in North Carolina firebombed), lakini Tanzania hatukuingilia.
Sambamba na hilo, kinachoendelea saizi Marekani hakuna utofauti na nchi wanazoziita Authoritarian countries, yaani nchi zinazoendeshwa kidikteta. Level ya freedom of expression imeporomoka sana (). Kwa kusema hivyo, balozi wa Marekani HANA MORAL AUTHORITY YA KUINGILIA UCHAGUZI WETU. Tanzania ni nchi huru na watuachie kama tulivyopambana kwenye korona. Kama bibilia inavyosema "Ewe mnafiki, ondoa boriti ndani ya jicho lako kwanza, ndipo utaweza kuona dhahiri jinsi ya kuondoa kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako" (Mathayo, 7:5).
Kuna uzi niliuleta kwenye jukwaa hili, click this link: Uchaguzi 2020 - Kuna uwezekano wa nchi hizi zikatumika katika kudukua Mfumo wa Uchaguzi. Intel za Serikali kuweni macho, nilidokeza kidogo kuhusu ujio wa balozi huyu katika kipindi hiki cha uchaguzi. Kwa kusema hivyo, yanaanza kutimia taratibu ndungu zangu. Unajua kuna watu wengine Mungu katujalia kuona mambo kwa upana sana, kwa hiyo ninachokiona kwa sasa, ndicho kile ambacho my instinct ilikuwa inanishuhudia.
Nani ajuaye kama kuchomwa kwa office ya kanda ya kasikazini kama ni mpango tu? Kama watu wanaweza kujiteka na kusingizia serikali (), kwenye kuchoma inashindikana kweli? Katika harakati za kumpindua Fidel Castro, Marekani waliilipua meli yao kule Guantanamo bay, ila wakamsingizia Castrol. Ndugu zangu, jamaa hawa hawa, walisema Libya inaendeshwa kidikteta, wakatengeneza mambo kwa kuwaandaa vibaraka wao, na hatimaye wakafanikiwa kumuondoa Gadafi, lakini saizi kinachotekea kule ni majanga, Libya is currently a failed state (Libya as a Failed State:). Ni wakati sasa wa kumuuliza balozi wa Marekan, yaliyotokea Libya unayajua? Je, hiyo ndiyo democracy mliyokuwa mnaitaka?.
Ukiusoma uzi wangu hapo, utaona kuna mahali nimemuongelea Mh. Tundu Lissu, ni kama ameandaliwa vile, maana hata kauli zake tangu aje, zina ukakasi sana: 1) Safari hii hakuna kumuachia Mungu; 2) Nikishindwa watu nitawaamuru waingie barabarani i.e. Hizi ni dalili mbaya sana kwa mustakabali wa amani ya nchi yetu.
Kwa vile Mh. Tundu Lissu ni kama ameandaliwa vile, sambamba na matamko haya ya balozi wa Marekani, ninavyoona tutegemee mambo yafuatayo:
Making story short, Marekani hatuwezi kushindana nalo kuichumi wala kivita, njia pekee ambayo tunaweza kuwashinda hawa jamaa na ajenda zao za giza ni KUMUOMBA MUNGU TU. KAMA MUNGU ALITUVUSHA KWENYE JANGA HILI LA KORONA, NAAMINI ATATUVUSHA NA MIKAKATI MIMBAYA AMBAYO MAREKANi NA VIBARAKA WAO WAMESHAPANGA. Nilileta uzi humu, nikisisitiza suala la kumuomba Mungu, wakati nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu: (Katika kipindi ambacho taifa linahitaji maombi mengine tena ni sasa, asomaye na achukue hatua).
- Hata kama Mh. Magufuli atashinda uchaguzi huu, Mh. Tundu Lissu hatakubali.
- Ubalozi wa Marekani hawatakubali pia, na kwa dalili hizi, yawezekana kuna deal done tayari.
Hii ndiyo njia pekee watanzania wenzangu tuitumieni kupambana na hizi ajenda za siri. Niwakumbushe jambo moja tu, tangu Tanzania ianze kufanya chaguzi kama hizi, ni kwa mara ya kwanza Tanzania haijaomba msaada wowote kutoka kwenye mataifa ya nje, zaidi ya bilioni miatatu na kitu zimetolewa na serikali, yaani serikali imegharamia uchaguzi wote kwa 100%. Mh. Raisi ni lulu ya taifa letu, kuwa na kiongozi kama huyu, mwenye maono makubwa na nia ya dhati kabisa ya kujenga uchumi katika taifa, ni adimu sana kuwapata, WE SHOULD, THEREFORE, PROTECT HIM BY ALL MEANS AGAINST INTERNAL AND EXTERNAL ENEMIES, AND PRAYERS WORTH PAYING ATTENTION.
Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu
Kamuulize Mwigulu Nchemba akwambie alivyo shindwa kuithibitishia mahakama.Tatizo vijana waufipa wavivu kusoma vitu, sasa hapa umesema nini, dogo aliachwa maana utoto ulikuwa unamsumbua
Uliona kwenye makinikia? Uliona kwenye Korona? Magufuli nikibo cha wanafiki na Vibaraka, tutazidi kumuombea Kwa Mungu daimaGenge la kigaidi tulieni dawa yenu inachemka,mna siasa za kipumbavu sana.
Alright, nitamtafutaKamuulize Mwigulu Nchemba akwambie alivyo shindwa kuithibitishia mahakama.
Ukweli unachoma, watu tunafuatilia mambo hatari, kama wewe akili zembe, kaa hivo hivo, tutawafichua mpaka muabike.Hoja za kipuuzi kama hizi za wachumia matumbo