#COVID19 Makao Makuu ya EU duniani yatoa dozi 115,200 kwa Tanzania bila Masharti

Kaka umevuta nini?? Unafikiri kweli hii ina uhusiano wowote na siasa?? Wamebakiza dozi hizo hawataki kuzitupa. Halafu huko Ulayqa wengi wameshaelewa muda mrefu kwamba hatutatona mwisho wa maabukizi ya Covid hadi watu wengi duniani wamechanja! Na kutochanja Afrika ni hatari kwa wote, maana hapa virusi inaendelea kucheza bila vikwazo vingi maanake kubadilikabadilika... Halafu hatari ya COVID ni kubwa zaidi kwenye penye wazee wengi - kama Ulaya Magharibi
 
Watu wako busy na mambo ya kiuchumi sio porojo za kina Mbowe.

Pili mfumo wa uendeshaji wa kesi uko wazi hakuna mtu kuonewa sasa kwa mazingira kama hayo huwezi sema eti Samia anakandamiza haki ,sio kweli..
 
 
European Union wamehusika vipi hapa? Na hizo sifa kwa Tanzania na Rais wake ziko wapi? Mwisho Makao Makuu ya EU duniani ndio nini?

Amandla...
 
European Union wamehusika vipi hapa? Na hizo sifa kwa Tanzania na Rais wake ziko wapi? Mwisho Makao Makuu ya EU duniani ndio nini?

Amandla...
Umoja wa Ulaya hauhusiki hapa, hta kama makao makuu yapo Brussels (Ubelgiji). Menginevyo sifa za rais aliyeko sasa TZ ni dhahiri: ameanza kukubali eti Covid iko, ni hatari, na chanjo ni njia inayotakiwa kwa mapatano ya kimataifa ya wataalamu. Yaani tofauti na mtangulizi ambaye, nahofia, alisababisha ambavyo visingekuwa vya lazima kwa kufunga macho na kukana. (Siasa yake ya kutofunga nchi ilikuwa sahihi, jaribio la kukana na kuondoa tahadhari na kufundisha watu vile, liliua)
 

Katika hilo andiko hamna mahali ambapo Tanzania na Rais wetu tumesifiwa. Kama ambavyo hamna mahali ambapo EU imetajwa.

Amandla...
 
Katika hilo andiko hamna mahali ambapo Tanzania na Rais wetu tumesifiwa. Kama ambavyo hamna mahali ambapo EU imetajwa.

Amandla...
ni hii tu: "“We commend the government of Tanzania for stepping up the awareness raising campaigns to inform the general public about the importance to get vaccinated, as well as facilitating vaccination all over the country.”
Kwa lugha ya diplomasia wanasifu serikali ya Tanzania- Uichukue unavyopenda.
 
Asante kwa clarification.

Amandla...
 
 
 
Gharama za hayo manjano yao ,wangetupa Cash, tuzitumie kwenye upanuzi wa barabara kutoka Kibaha hadi Chalinze.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…