Umeme juuTanzania na Samia,
1.Uchumi Juu,
2. Uwekezaji juu
3. Diplomasia juu
4. Amani & Upendo juu
5. Maendeleo juu
6. Demokrasia juu
Maji juu
Bidhaa bei chini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeme juuTanzania na Samia,
1.Uchumi Juu,
2. Uwekezaji juu
3. Diplomasia juu
4. Amani & Upendo juu
5. Maendeleo juu
6. Demokrasia juu
Kaka umevuta nini?? Unafikiri kweli hii ina uhusiano wowote na siasa?? Wamebakiza dozi hizo hawataki kuzitupa. Halafu huko Ulayqa wengi wameshaelewa muda mrefu kwamba hatutatona mwisho wa maabukizi ya Covid hadi watu wengi duniani wamechanja! Na kutochanja Afrika ni hatari kwa wote, maana hapa virusi inaendelea kucheza bila vikwazo vingi maanake kubadilikabadilika... Halafu hatari ya COVID ni kubwa zaidi kwenye penye wazee wengi - kama Ulaya MagharibiWakati Lissu na genge lake wakiipigia chepuo Tanzania inyimwe misaada mbalimbali ya kibinadamu na kimaendeleo toka EU,
Mambo ni tofauti kidogo toka Ubelgiji nchi anayoishi Lissu Kwa kula na kulala bure,
Kwani imeamua kuisaidia Tanzania dozi 115,200 za COVID-19 bila masharti huku wakiisifu Tanzania na Rais Samia kwa mageuzi makubwa,
Ukisikiliza hoja za Mwakilishi wa EU aliyefika Tanzania aliyekuwa akitoa hoja bunge la EU na hii misaada inayomiminika toka makao makuu ya EU nadhani ni wakati sasa wa Lissu na genge lake kurejea nyumbani,
#Hawa wazungu wamewachoka hawa jamaa basi tu wanashindwa kuwafukuza kwani wanajua Tanzania chini ya Rais Samia ni Salama mno kuliko wakati wowote tangu tupate Uhuru,
View attachment 2032472
Yame xpire hayo hawana pakuyapleka ndo manaCHADEMA KWISHAAAA
Watu wako busy na mambo ya kiuchumi sio porojo za kina Mbowe.Belgium to donate 115,200 Covid-19 vaccines to Tanzania
FRIDAY DECEMBER 03 2021
![]()
The Belgium government is set to donate 115,200 Covid-19 vaccines to Tanzania in efforts to step up the nationwide vaccination campaign.
According to a statement by the deputy head of mission at the embassy of Belgium in Tanzania Petra Heylen, the Johnson & Johnson vaccines will arrive in Dar es Salaam on Friday December 3, 2021.
The embassy statement stated that the distribution will take place via multilateral distributor the Covax facility, and is coordinated by the United Nations children fund (Unicef).
“This donation forms part of an earlier commitment by the Government of Belgium to distribute at least 4 million vaccines to middle and low income countries by the end of 2021,” the statement reads in part.
“We commend the government of Tanzania for stepping up the awareness raising campaigns to inform the general public about the importance to get vaccinated, as well as facilitating vaccination all over the country.”
Belgium is among Western countries which have quite satisfactory vaccination rates.
And according to Belgium's minister of Development Cooperation, Meryame Kitir, the country’s focus for bilateral donations will be on Africa and more specifically on our African partner countries, where access to vaccines is sorely lacking.
“We can be very proud of the high vaccination coverage in our country. But at the same time, I remain very concerned because many people in vulnerable countries do not have access to a vaccine.
This virus has no borders. International solidarity and cooperation is the only way out of this health crisis. We will only be safe when everyone is safe," stated minister Kitir
Source :The Citizen
Huu ushauri ni wakweli kabisaLissu rudi kwenu mambo yameharibika mzee
Kwakweli awamu hii asiporudi tutamshangaa sana, Hakuna kikwazo chochote,Mwambieni jamaa yenu arudi sio kuendelea kulichafua Taifa letu Sisi hatuna pa kwenda
Wakati Lissu na genge lake wakiipigia chepuo Tanzania inyimwe misaada mbalimbali ya kibinadamu na kimaendeleo toka EU,
Mambo ni tofauti kidogo toka Ubelgiji nchi anayoishi Lissu Kwa kula na kulala bure,
Kwani imeamua kuisaidia Tanzania dozi 115,200 za COVID-19 bila masharti huku wakiisifu Tanzania na Rais Samia kwa mageuzi makubwa,
Ukisikiliza hoja za Mwakilishi wa EU aliyefika Tanzania aliyekuwa akitoa hoja bunge la EU na hii misaada inayomiminika toka makao makuu ya EU nadhani ni wakati sasa wa Lissu na genge lake kurejea nyumbani,
#Hawa wazungu wamewachoka hawa jamaa basi tu wanashindwa kuwafukuza kwani wanajua Tanzania chini ya Rais Samia ni Salama mno kuliko wakati wowote tangu tupate Uhuru,
View attachment 2032472
European Union wamehusika vipi hapa? Na hizo sifa kwa Tanzania na Rais wake ziko wapi? Mwisho Makao Makuu ya EU duniani ndio nini?Belgium to donate 115,200 Covid-19 vaccines to Tanzania
FRIDAY DECEMBER 03 2021
![]()
The Belgium government is set to donate 115,200 Covid-19 vaccines to Tanzania in efforts to step up the nationwide vaccination campaign.
According to a statement by the deputy head of mission at the embassy of Belgium in Tanzania Petra Heylen, the Johnson & Johnson vaccines will arrive in Dar es Salaam on Friday December 3, 2021.
The embassy statement stated that the distribution will take place via multilateral distributor the Covax facility, and is coordinated by the United Nations children fund (Unicef).
“This donation forms part of an earlier commitment by the Government of Belgium to distribute at least 4 million vaccines to middle and low income countries by the end of 2021,” the statement reads in part.
“We commend the government of Tanzania for stepping up the awareness raising campaigns to inform the general public about the importance to get vaccinated, as well as facilitating vaccination all over the country.”
Belgium is among Western countries which have quite satisfactory vaccination rates.
And according to Belgium's minister of Development Cooperation, Meryame Kitir, the country’s focus for bilateral donations will be on Africa and more specifically on our African partner countries, where access to vaccines is sorely lacking.
“We can be very proud of the high vaccination coverage in our country. But at the same time, I remain very concerned because many people in vulnerable countries do not have access to a vaccine.
This virus has no borders. International solidarity and cooperation is the only way out of this health crisis. We will only be safe when everyone is safe," stated minister Kitir
Source :The Citizen
Umoja wa Ulaya hauhusiki hapa, hta kama makao makuu yapo Brussels (Ubelgiji). Menginevyo sifa za rais aliyeko sasa TZ ni dhahiri: ameanza kukubali eti Covid iko, ni hatari, na chanjo ni njia inayotakiwa kwa mapatano ya kimataifa ya wataalamu. Yaani tofauti na mtangulizi ambaye, nahofia, alisababisha ambavyo visingekuwa vya lazima kwa kufunga macho na kukana. (Siasa yake ya kutofunga nchi ilikuwa sahihi, jaribio la kukana na kuondoa tahadhari na kufundisha watu vile, liliua)European Union wamehusika vipi hapa? Na hizo sifa kwa Tanzania na Rais wake ziko wapi? Mwisho Makao Makuu ya EU duniani ndio nini?
Amandla...
Umoja wa Ulaya hauhusiki hapa, hta kama makao makuu yapo Brussels (Ubelgiji). Menginevyo sifa za rais aliyeko sasa TZ ni dhahiri: ameanza kukubali eti Covid iko, ni hatari, na chanjo ni njia inayotakiwa kwa mapatano ya kimataifa ya wataalamu. Yaani tofauti na mtangulizi ambaye, nahofia, alisababisha ambavyo visingekuwa vya lazima kwa kufunga macho na kukana. (Siasa yake ya kutofunga nchi ilikuwa sahihi, jaribio la kukana na kuondoa tahadhari na kufundisha watu vile, liliua)
ni hii tu: "“We commend the government of Tanzania for stepping up the awareness raising campaigns to inform the general public about the importance to get vaccinated, as well as facilitating vaccination all over the country.”Katika hilo andiko hamna mahali ambapo Tanzania na Rais wetu tumesifiwa. Kama ambavyo hamna mahali ambapo EU imetajwa.
Amandla...
Asante kwa clarification.ni hii tu: "“We commend the government of Tanzania for stepping up the awareness raising campaigns to inform the general public about the importance to get vaccinated, as well as facilitating vaccination all over the country.”
Kwa lugha ya diplomasia wanasifu serikali ya Tanzania- Uichukue unavyopenda.
Wakati Lissu na genge lake wakiipigia chepuo Tanzania inyimwe misaada mbalimbali ya kibinadamu na kimaendeleo toka EU,
Mambo ni tofauti kidogo toka Ubelgiji nchi anayoishi Lissu Kwa kula na kulala bure,
Kwani imeamua kuisaidia Tanzania dozi 115,200 za COVID-19 bila masharti huku wakiisifu Tanzania na Rais Samia kwa mageuzi makubwa,
Ukisikiliza hoja za Mwakilishi wa EU aliyefika Tanzania aliyekuwa akitoa hoja bunge la EU na hii misaada inayomiminika toka makao makuu ya EU nadhani ni wakati sasa wa Lissu na genge lake kurejea nyumbani,
#Hawa wazungu wamewachoka hawa jamaa basi tu wanashindwa kuwafukuza kwani wanajua Tanzania chini ya Rais Samia ni Salama mno kuliko wakati wowote tangu tupate Uhuru,
View attachment 2032472
Wakati Lissu na genge lake wakiipigia chepuo Tanzania inyimwe misaada mbalimbali ya kibinadamu na kimaendeleo toka EU,
Mambo ni tofauti kidogo toka Ubelgiji nchi anayoishi Lissu Kwa kula na kulala bure,
Kwani imeamua kuisaidia Tanzania dozi 115,200 za COVID-19 bila masharti huku wakiisifu Tanzania na Rais Samia kwa mageuzi makubwa,
Ukisikiliza hoja za Mwakilishi wa EU aliyefika Tanzania aliyekuwa akitoa hoja bunge la EU na hii misaada inayomiminika toka makao makuu ya EU nadhani ni wakati sasa wa Lissu na genge lake kurejea nyumbani,
#Hawa wazungu wamewachoka hawa jamaa basi tu wanashindwa kuwafukuza kwani wanajua Tanzania chini ya Rais Samia ni Salama mno kuliko wakati wowote tangu tupate Uhuru,
View attachment 2032472
Gharama za hayo manjano yao ,wangetupa Cash, tuzitumie kwenye upanuzi wa barabara kutoka Kibaha hadi Chalinze.Wakati Lissu na genge lake wakiipigia chepuo Tanzania inyimwe misaada mbalimbali ya kibinadamu na kimaendeleo toka EU,
Mambo ni tofauti kidogo toka Ubelgiji nchi anayoishi Lissu Kwa kula na kulala bure,
Kwani imeamua kuisaidia Tanzania dozi 115,200 za COVID-19 bila masharti huku wakiisifu Tanzania na Rais Samia kwa mageuzi makubwa,
Ukisikiliza hoja za Mwakilishi wa EU aliyefika Tanzania aliyekuwa akitoa hoja bunge la EU na hii misaada inayomiminika toka makao makuu ya EU nadhani ni wakati sasa wa Lissu na genge lake kurejea nyumbani,
#Hawa wazungu wamewachoka hawa jamaa basi tu wanashindwa kuwafukuza kwani wanajua Tanzania chini ya Rais Samia ni Salama mno kuliko wakati wowote tangu tupate Uhuru,
View attachment 2032472
Belgium to donate 115,200 Covid-19 vaccines to Tanzania