Makao Makuu ya JamiiForums yako wapi?

Makao Makuu ya JamiiForums yako wapi?

Yaani JamiiForums ofisi zenu kwanini mnazificha na hamuziweki bayana? Utasikia mara kwa Warioba Mikocheni, Mara Kawe Tripple Seven, Mara Msasani Mokoroshoni.

Mbona hivyo? Mnajificha nini?
Mkuu mbona ofisi zao zipo bayana na vibao vinakuelekeza hadi walipo?

Sema wewe unazungumzia ofisi zilivyohama kutoka eneo moja kwenda lingine tena ilikuwa miaka kadhaa huko nyuma.

Punguza gubu
 
Server za jamii forums hivi bado zipo marekani au zishaletwa bongo nyoso!
 
Yaani JamiiForums ofisi zenu kwanini mnazificha na hamuziweki bayana? Utasikia mara kwa Warioba Mikocheni, Mara Kawe Tripple Seven, Mara Msasani Mokoroshoni.

Mbona hivyo? Mnajificha nini?
Mbona taarifa za zilipo ofisi zipo mtandaoni wazi?

JamiiForums
0743 440 000

Hadi namba ya simu imewekwa.

Screenshot 2022-12-23 at 09.34.58.png
 
Back
Top Bottom