Makao Makuu ya JamiiForums yako wapi?

Makao Makuu ya JamiiForums yako wapi?

Yaani JamiiForums ofisi zenu kwanini mnazificha na hamuziweki bayana? Utasikia mara kwa Warioba Mikocheni, Mara Kawe Tripple Seven, Mara Msasani Mokoroshoni.

Mbona hivyo? Mnajificha nini?
Wana "postikodi" fake?Nawasisitiza waendelee hivyohivyo wasijekufanyiwa kama ofisi za wanasheria.Ilisikika tu..."kaboom...kaboom...kabooooom"!🤔🤔🤔🤔
 
Yaani JamiiForums ofisi zenu kwanini mnazificha na hamuziweki bayana? Utasikia mara kwa Warioba Mikocheni, Mara Kawe Tripple Seven, Mara Msasani Mokoroshoni.

Mbona hivyo? Mnajificha nini?
Na wewe huwa una kiherehere! Achana na ofisi zao tumia hudama zao kwa vile hazilipiwi. Usitafute mengineyo
 
Yaani JamiiForums ofisi zenu kwanini mnazificha na hamuziweki bayana? Utasikia mara kwa Warioba Mikocheni, Mara Kawe Tripple Seven, Mara Msasani Mokoroshoni.

Mbona hivyo? Mnajificha nini?
Nazjaz happy Christmas in advance..[emoji173]
 
Yaani JamiiForums ofisi zenu kwanini mnazificha na hamuziweki bayana? Utasikia mara kwa Warioba Mikocheni, Mara Kawe Tripple Seven, Mara Msasani Mokoroshoni.

Mbona hivyo? Mnajificha nini?

Ziko popote hata nyumbani kwake pia ni ofisi.wee unataka ukapigie hapo picha ili upate umaarufu?
 
Back
Top Bottom