Makao makuu ya Premier betting huku Dodoma yapo wapi?

Makao makuu ya Premier betting huku Dodoma yapo wapi?

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Wakuu salamu zangu ziwafikie popote mlipo,

Nipo huku Dom kwa muda ,nilikuja huku week hii na mkeka wangu wa week ule wanaita mega.Niliweka teams 10 zote zi win kwa Tsh 500 na ikatoka Tsh 267750.Sasa katika hizo teams 10 tayari 9 zimeshacheza na kupata matokeo niliyoyatabiri.Imebaki 1 ambayo.itacheza leo kati ya PSG VS METZ ,hii mechi nimempa PSG ashinde.Wakuu nafahamu kuwa kuna kufungwa na kushinda na droo pia ila sio kwa mechi hii.Naomba kwa wanaofahamu ilipp premier betting makao makuu huku Dom ili kesho niende kuchukua mpunga wangu.

Msaada wenu wakuu.
 
Kama umeweza kuingia humu...basi naamini unaweza kuingia primier website na kutafuta matawi yao yalipo ikiwemo hayo ya Dom
 
Vijana wa dar wameshaanza leta fujo dom na betting zao.
 
Dakika ya 80 psg 2 metz 0.Thanks god
 
nawashukuru wote mlionielekeza,nimefuka ofisi yao ya chako ni chako
 
kuna kimoja kimodo fulan hivi kinanyoa kiduko ni sheeda aisee
 
Back
Top Bottom