james chapacha
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 939
- 200
Tanga imekaa vizuri naunga mkono hoja.
Tatzo la Tanga wa-Liberal ni wengi sana!ssa tukpeleka makao makuu tanga itakuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanga imekaa vizuri naunga mkono hoja.
Warioba kaleta matatizo badala ya kutatua matatizo katiba ingetakiwa ituletee njia ya maendeleo badala ya kuongeza ukubwa wa serikali na haya mambo mengine ambayo ni gharama na hayana maana kwa taifa.
Tanga hakuna upuuzi wa ushoga,acha ujinga.Tatzo la Tanga wa-Liberal ni wengi sana!ssa tukpeleka makao makuu tanga itakuwaje?
nitaamini kama tanga hakuna ushoga ukinihakikishia haya mawili. 1. tanga hakuna waarabu...kwani kwao ushoga ni suna....2. tanga haipo karibu na mombasa. otherwise tanga kila aina ya dhambi tanzania inaingilia tanga.kama huamini nenda uhudhurie ngoma za asili hasa KOKO, sijui kama bado ipo au laa kwani kitambo mi niliishi uko.Tanga hakuna upuuzi wa ushoga,acha ujinga.
Kama rasimu ya katiba itapitishwa kuna umuhimu mkubwa wa mkoa wa Tanga ufanywe kuwa makao makuu ya Tanganyika kwa sababu zifuatazo:
1- Tanga ina historia nzito na nyeti!
2- Tanga ina bandari kongwe na iko mahali strategia zaidi!
3- Tanga ni mji wa kwanza Tanganyika kupata hadhi ya manispaa!
4- Tanga ni mji uliostaarabika kwanza kabla ya miji mingine kwa kuwa na mahakama za mwanzo wakati wa Mjerumani!
ukichanganya na ujenzi wa kinidhamu wa mitaa ya Tanga, na sifa zingine nyingi zinaipa hadhi jiji hilo kuwa makao makuu ya Tanganyika ijayo! Dar es Salaam iendelee kuwa makao makuu ya Tanzania badala ya Dodoma!
Tanga !
Kunani paleeee,Tanga !
Safi sana Tanga.
mshaanza kugombamaba nyinyiii.. zanzibar wamegombana kivi.. unaonaona faida ya kumtegemea mtu.....leo zenj wapo nakila kitu chao nyinyi mnasubiri kufukuzwa nyumba halafu muanze kuhangaika sio.. faida hiyo ya kukaa na kutegemea wenginetushaanza kugombana...yaleyale aliyosema mchonga meno..wazanzibara na wazanzibari,...waunguja na wapemba...
Kama rasimu ya katiba itapitishwa kuna umuhimu mkubwa wa mkoa wa Tanga ufanywe kuwa makao makuu ya Tanganyika kwa sababu zifuatazo:
1- Tanga ina historia nzito na nyeti!
2- Tanga ina bandari kongwe na iko mahali strategia zaidi!
3- Tanga ni mji wa kwanza Tanganyika kupata hadhi ya manispaa!
4- Tanga ni mji uliostaarabika kwanza kabla ya miji mingine kwa kuwa na mahakama za mwanzo wakati wa Mjerumani!
ukichanganya na ujenzi wa kinidhamu wa mitaa ya Tanga, na sifa zingine nyingi zinaipa hadhi jiji hilo kuwa makao makuu ya Tanganyika ijayo! Dar es Salaam iendelee kuwa makao makuu ya Tanzania badala ya Dodoma!
Arusha ni mahali muafaka kabisa.
[1] Hali ya hewa ni nzuri
[2] Viongozi watakuwa na uwezo wa kuvaa suti katika kipindi kirefu cha mwaka bila kutumia AC na kuongeza gharama kwa walipa kodi.
[3] Arusha ni makao makuu ya EAC.Kwakuwa wizara ya EAC si suala la muungano tena baada ya kuzaliwa nchi ya Tanganyika hii itasaidia kupunguza gharama za usafiri maafisa wa serekali.