Makao makuu ya Tz ni Dar es salaam kiuhalisia... Ila Dodoma ni makao makuu Kwa nadharia tu

Hii inathibitishwa na viongozi wetu kabisaa hawataki hata kdg kukaa Dodoma maana Dodoma wamepafanya sehemu ya kuchukulia POINT 3 tu.
Gentleman,
ni muhimu zaidi kufahamu kwamba,
Dar es salaam ni mji mkuu, na Dodoma ni makao makuu ya nchi 🐒
 
Hii inathibitishwa na viongozi wetu kabisaa hawataki hata kdg kukaa Dodoma maana Dodoma wamepafanya sehemu ya kuchukulia POINT 3 tu.
Maamuzi ya hovyo ya yule mshamba wa kisukuma, matrilioni ya pesa yameteketezwa kujenga majengo na miundo mbinu mingi ilhali viongozi hawataki kukaa huko Dodoma.
 
..badala kujenga maofisi na majumba ya viongozi Dodoma ni afadhali tungejenga viwanda, au tungeimarisha bandari, au kumalizia Sgr, au kukarabati njia za kusafirisha umeme.
Dodoma ujenge viwanda mkuu kiwanda Cha Nini kikae pale katikati..😁😁
 
Wanaogopa kumuudhi Nyerere
 
Hii inathibitishwa na viongozi wetu kabisaa hawataki hata kdg kukaa Dodoma maana Dodoma wamepafanya sehemu ya kuchukulia POINT 3 tu.
 
Attachments

  • IMG-20250209-WA0004.jpg
    183.7 KB · Views: 3
Kuna jamaa aliwaambia wajinga cherehani moja ni kiwanda.Jamaa jinga sana na alisema akumbukwe.
Hata china wanaviwanda vidogovidogo na vinakuwa na kupiga hatua Sasa wewe endelea kulaumu watu kuwa maisha magumu
 
Hii inathibitishwa na viongozi wetu kabisaa hawataki hata kdg kukaa Dodoma maana Dodoma wamepafanya sehemu ya kuchukulia POINT 3 tu.
Dodoma nimakao makuu ya sisiemu wanakula per diem tu za Dar ninatumizi mabaya sana ya pesa za Umma
 
Tanzania siyo nchi ya kwanza kuhamisha au kuwa na mji mkuu au makao makuu ya serikali nje ya mji au jiji lenye pilika nyingi zaidi. Nigeria wamehama kutoka Lagos kwenda Abuja na lagos ndo mji mkubwa zaidi ukilinganisha na huo Abuja, kuna nchi ya Cote d'Ivoire Abidjan ndo mji mkubwa zaidi lkn makao makuu ya serikali yapo Yamoussoukro, South Africa Johannesburg ndo mji mkubwa na wenye pilika nyingi lkn serikali ipo Pretoria. Morocco Rabat ndo serikali ilipo kwa maana makao makuu lakini Casablanca ndo jiji kubwa zaidi na lenye pilika nyingi za kibiashara. Burundi hapo makao makuu ya serikali yapo mkoa wa Gitega ilihali Bujumbura ndo kwenye mishe na ofisi nyingi zaidi. Ukiangalia kuna nchi nyingi tu duniani zina miji mikuu ya kibiashara (hapa kwetu Dar) lkn zina miji kwa ajili ya shughuli za kiserikali(capital city)
Tupunguze ujuaji wakati mwingine
 
Hiyo ni zamani, pili uchumi wa Nigeria haukaribiana na wa kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…