Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nigeria imehama 1991 Tanzania 1996 (official doc)Hiyo ni zamani, pili uchumi wa Nigeria haukaribiana na wa kwetu.
Tanzania ilitangaza kuhamia Dodoma 1973, ila ilishindikana kwasababu za kiuchumi. Akaja mshamba moja mpenda sifa 2015 alitaka kuonesha yeye anaweza vilivyowashinda marais wenzake. Tumeperish km nchi kwa maamuzi ya kishamba, ya kutafuta sifa za kijinga.Nigeria imehama 1991 Tanzania 1996 (official doc)
Shauri yako.Ukichelewa nakuambia shauri zako.Hata china wanaviwanda vidogovidogo na vinakuwa na kupiga hatua Sasa wewe endelea kulaumu watu kuwa maisha magumu
Mama yenu na Mkwere ndio wameharibu ndio maana badala ya kuiendeleza Dodoma pesa zimechepushwa kwenda Dar Es Salaam kubadilish miundo mbinu ya barabara, biashara na kila kitu shughuli zimehamishiwa Dar au Kizimkazi!!Hii inathibitishwa na viongozi wetu kabisaa hawataki hata kdg kukaa Dodoma maana Dodoma wamepafanya sehemu ya kuchukulia POINT 3 tu.
Umejichanganya brooTanzania siyo nchi ya kwanza kuhamisha au kuwa na mji mkuu au makao makuu ya serikali nje ya mji au jiji lenye pilika nyingi zaidi. Nigeria wamehama kutoka Lagos kwenda Abuja na lagos ndo mji mkubwa zaidi ukilinganisha na huo Abuja, kuna nchi ya Cote d'Ivoire Abidjan ndo mji mkubwa zaidi lkn makao makuu ya serikali yapo Yamoussoukro, South Africa Johannesburg ndo mji mkubwa na wenye pilika nyingi lkn serikali ipo Pretoria. Morocco Rabat ndo serikali ilipo kwa maana makao makuu lakini Casablanca ndo jiji kubwa zaidi na lenye pilika nyingi za kibiashara. Burundi hapo makao makuu ya serikali yapo mkoa wa Gitega ilihali Bujumbura ndo kwenye mishe na ofisi nyingi zaidi. Ukiangalia kuna nchi nyingi tu duniani zina miji mikuu ya kibiashara (hapa kwetu Dar) lkn zina miji kwa ajili ya shughuli za kiserikali(capital city)
Tupunguze ujuaji wakati mwingine
Kuna vitu kama nchi tulikurupuka sana... Na yote yalisababishwa na JPM. Dodoma ni ishara ya umaskini wetu.Hii inathibitishwa na viongozi wetu kabisaa hawataki hata kdg kukaa Dodoma maana Dodoma wamepafanya sehemu ya kuchukulia POINT 3 tu.
Dodoma ujenge viwanda mkuu kiwanda Cha Nini kikae pale katikati..😁😁