instanbul JF-Expert Member Joined Jun 26, 2016 Posts 12,037 Reaction score 17,212 Oct 31, 2019 #1 Halmashauri ya Wilaya Bukoba imehamia rasmi Katerereo Bukoba Vijijini ili isogeze huduma karibu kwa wananchi zaidi. Hii ni baada ya amri kutoka kwa wakuu kuhamisha makao makuu kutoka mijini.
Halmashauri ya Wilaya Bukoba imehamia rasmi Katerereo Bukoba Vijijini ili isogeze huduma karibu kwa wananchi zaidi. Hii ni baada ya amri kutoka kwa wakuu kuhamisha makao makuu kutoka mijini.
M MWANAKA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2013 Posts 4,887 Reaction score 4,435 Oct 31, 2019 #2 Hilo jina sasa πππ
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 12,001 Reaction score 27,175 Oct 31, 2019 #3 Imenikumbusha ile hadithi ya 'Siku ya Gulio Katerero'
instanbul JF-Expert Member Joined Jun 26, 2016 Posts 12,037 Reaction score 17,212 Oct 31, 2019 Thread starter #4 Farolito said: Imenikumbusha ile hadithi ya 'Siku ya Gulio Katerero' Click to expand... Na hapo hapo Katerero kumejengwa hospitali ya Wilaya ya Bukoba.
Farolito said: Imenikumbusha ile hadithi ya 'Siku ya Gulio Katerero' Click to expand... Na hapo hapo Katerero kumejengwa hospitali ya Wilaya ya Bukoba.
Msitari wa pambizo JF-Expert Member Joined Sep 25, 2014 Posts 3,098 Reaction score 5,451 Nov 1, 2019 #5 Hivi hili jina hamuwezi kufanya namna mkalibadilisha! Limekaa ki dhambi dhambi hivi
battawi JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 2,712 Reaction score 2,577 Nov 4, 2019 #6 tashwishwi said: Hivi hili jina hamuwezi kufanya namna mkalibadilisha! Limekaa ki dhambi dhambi hivi Click to expand... BADILISHENI NA '' MATOMBO '' KULE MORO
tashwishwi said: Hivi hili jina hamuwezi kufanya namna mkalibadilisha! Limekaa ki dhambi dhambi hivi Click to expand... BADILISHENI NA '' MATOMBO '' KULE MORO
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,962 Reaction score 70,576 Nov 7, 2019 #7 π π π