Makao makuu ya Wilaya ya Bukoba Vijijini yahamia Katerero

Makao makuu ya Wilaya ya Bukoba Vijijini yahamia Katerero

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
12,037
Reaction score
17,212
Halmashauri ya Wilaya Bukoba imehamia rasmi Katerereo Bukoba Vijijini ili isogeze huduma karibu kwa wananchi zaidi.

Hii ni baada ya amri kutoka kwa wakuu kuhamisha makao makuu kutoka mijini.
 
Back
Top Bottom