Makapela special thread

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Wale makapela wote ambao bado hawajaoa au kuolewa na ambao kwa wale waliobahatika kuolewa au kuoa lakini ndoa zao zimemeguka tukutane hapa .

Tupeane michongo,Raha na Changamoto za kuwa kapela yaani mwenyewe mwenyewe tu.

Usishangae uzi uuh unaweza kukufanya ukauacha ukapela kwa kukutana na kapela mwenzio na mkaamua kuanzisha maisha mapya..!


Welcome all Jf kapela's (mabachelor).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…